"Arifa ya dharura"
"Simu yako inaweza kukutumia arifa, kama vile maagizo ya kuokolewa, wakati wa majanga. Huduma hii ni ushirikiano kati ya Shirika la Kitaifa la Usimamizi wa Dharura, kampuni zinazotoa huduma za mtandao na watengenezaji wa vifaa.\n\nHuenda usipate arifa ikiwa kuna hitilafu kwenye kifaa chako au ikiwa hali ya mitandao ni duni."