"Rudi nyuma"
"Chaguo zaidi"
"futa"
"jumlisha"
"ujumbe wa sauti"
"Sauti chaguomsingi (%1$s)"
"Simu inatumika"
"Mtandao unatumika"
"Hakuna jibu, muda umekwisha"
"Seva haiwezi kufikiwa"
"Nambari haifikiwi"
"Jina la mtumiaji au nenosiri sio sahihi"
"Simu ya nje ya mtandao"
"Hitilafu ya seva: Tafadhali jaribu tena baadaye."
"Hakuna mtandao"
"Kiwango cha ACM kimezidishwa"
"Radio imezimwa"
"Hakuna SIM au kuna hitilafu ya SIM"
"Mtandao wa simu za mkononi haupatikani"
"Simu zinazopigwa zimezuiwa na FDN"
"Simu ilibadilishwa kuwa ombi la USSD"
"Simu ilibadilishwa kuwa ombi la SS"
"Nambari ya simu ilibadilishwa"
"Ilibadilishwa kuwa simu ya video"
"Simu ya video ilibadilishwa kuwa ombi la SS"
"Simu ya video ilibadilishwa kuwa ombi la USSD"
"Ilibadilishwa kuwa simu ya kawaida"
"Nambari ya simu ilibadilishwa"
"Haiwezi kupiga simu za kutoka wakati uzuiaji wa simu umewashwa."
"Simu zimewekewa vizuizi na kidhibiti cha idhini ya kufikia."
"Simu za dharura zimewekewa vizuizi na kidhibiti cha idhini ya kufikia."
"Simu za kawaida zimewekewa vizuizi na kidhibiti cha idhini ya kufikia."
"Nambari isiyo sahihi"
"Nambari ya ujumbe wa sauti haijulikani."
"Haiwezi kupiga Hangout za video ikiwa TTY imewashwa."
"Simu imeelekezwa kwenye kifaa kingine."
"Hamna"
"Mlio usiojulikana"
"Laini zote zilizopo zinatumika. Ili upige simu, kata mojawapo ya simu zinazoendelea kwenye kifaa hiki, au kwenye mojawapo ya vifaa vyako vingine."
"Simu imekatika kwa sababu data ya kifaa cha mkononi imezimwa."
"Simu imekatika kwa sababu umefikia kikomo ulichoweka cha data ya kifaa cha mkononi."
"Kikomo cha data kimefikiwa. Simu imekatika."