\n\n"Huwezi kupiga simu za dharura ukitumia huduma ya Kupiga simu kupitia Wi-Fi. Ukijaribu kupiga simu za dharura, moja kwa moja kifaa chako kitatumia mtandao wa simu. Unaweza tu kupiga simu za dharura ukiwa mahali ambapo mtandao wa simu unapatikana."