"Mipangilio"
"Mipangilio"
"Mtandao"
"Wasifu Uliowekeza Vikwazo"
"Ndiyo"
"Hapana"
"Washa"
"Zima"
"Imewashwa"
"Imezimwa"
"Kubali"
"Kataa"
"Imewashwa"
"Imezimwa"
"Haipatikani"
"Mapendekezo"
"Mipangilio ya Haraka"
"Mipangilio ya Jumla"
"Ondoa pendekezo hili"
"Utambuzi wa \"OK Google\""
"Zungumza na programu yako ya Mratibu wa Google wakati wowote"
"Kifaa"
"Mapendeleo"
"Kidhibiti cha Mbali na Vifaa vya Ziada"
"Ya Kibinafsi"
"Unganisha kwenye mtandao"
"Ongeza akaunti"
"Akaunti na kuingia katika akaunti"
"Hakuna akaunti"
- Akaunti %1$d
- Akaunti %1$d
"Huduma za maudhui, Mratibu wa Google, Malipo"
"Mtandao na Intaneti"
"Sauti"
"Programu"
"Mapendeleo ya Kifaa"
"Vidhibiti mbali na vifaa vya ziada"
"Hakuna vifaa vya Bluetooth vilivyounganishwa"
- Vifaa %1$d vya ziada
- Kifaa %1$d cha ziada
"Onyesho na Sauti"
"Usaidizi na Maoni"
"Faragha"
"Mipangilio ya Kifaa"
"Mipangilio ya Akaunti"
"Mratibu wa Google"
"Ununuzi na Malipo"
"Mipangilio ya Programu"
"Mahali, Matumizi na Uchunguzi, Matangazo"
"Ongeza akaunti"
"Ondoa akaunti"
"Chagua programu zilizosawazishwa"
"Sawazisha sasa"
"Inasawazisha..."
"Mara ya mwisho kusawazishwa %1$s"
"Umezimwa"
"Ondoa akaunti"
"Haiwezi kuondoa akaunti"
"Sawazisha sasa
%1$s"
"Imeshindwa kusawazisha"
"Kipengee cha kusawazisha kimewashwa"
"Wi-Fi"
"Ethaneti"
"Ethaneti imeunganishwa"
"Hakuna mtandao uliounganishwa"
"Wi-Fi imezimwa"
"Utafutaji wa mitandao hufanyika wakati wote"
"Ruhusu huduma ya eneo la Google na programu nyingine kutafuta mitandao, hata wakati Wi-Fi imezimwa"
"Utafutaji unapatikana wakati wote, Ruhusu huduma ya mahali ya Google na programu nyingine kutafuta mitandao, hata wakati umezima Wi-Fi"
"Wi-Fi"
"Unganisha kwenye mtandao"
"Uchunguzi wa mtandao"
"Programu ulizofungua hivi karibuni"
"Angalia programu zote"
"Ruhusa"
"Programu zote"
"Onyesha programu za mfumo"
"Programu zilizosakinishwa"
"Programu za mfumo"
"Programu zilizozimwa"
"Taswira ya skrini"
"Onyesha"
"Onyesho na Sauti"
"Sauti"
"Sauti inayozingira"
"Sauti za mfumo"
"Programu"
"Hifadhi"
"Rejesha mipangilio iliyotoka nayo kiwandani"
"Kipengele cha Kuhifadhi na Kurejesha Nakala"
"Kurejesha data iliyotoka nayo kiwandani"
"Marekebisho"
"Kiokoa nishati"
"Chagua miundo"
"Sauti inayozingira"
"Dolby Digital"
"Dolby Digital Plus"
"DTS"
"DTS-HD"
"DTS-UHD"
"Dolby Atmos iliyo na Dolby TrueHD"
"Dolby TrueHD"
"Dolby Atmos iliyo na Dolby Digital Plus"
"DRA"
"Kumbuka: Chaguo la Otomatiki huenda lisitumike ikiwa kifaa chako hakiripoti kwa usahihi miundo inayotumika."
"Otomatiki: Washa tu miundo inayotumika na kifaa chako cha kutoa sauti "
"Ukichagua, mfumo utaruhusu programu kuteua muundo wowote wa sauti unaotumika kwenye vifaa vyako. Huenda programu zikachagua muundo ambao si wenye ubora wa juu zaidi."
"Hamna: Kamwe usitumie sauti inayozingira"
"Teua mwenyewe: Washa au zima kila muundo unaotumika kwenye kifaa hiki, bila kujali muundo unaotumika kwenye kifaa chako cha kutoa sauti."
"Ukichagua, unaweza kuzima mwenyewe miundo ya sauti inayotumika kwenye vifaa vyako inayosababisha matatizo ya uchezaji. Unaweza kuwasha miundo ya sauti isiyotumika kwenye kifaa chako. Katika hali nyingine, huenda programu zikachagua muundo ambao si wenye ubora wa juu zaidi."
"Je, ungependa kutumia muundo wa sauti usiotumika?"
"Kifaa cha sauti ulichounganisha hakitumii muundo huu. Huenda hii ikasababisha hali isiyotarajiwa kwenye kifaa kama vile kelele au miatuko."
"Ghairi"
"Badilisha hata hivyo"
"MIUNDO INAYOTUMIKA"
"MIUNDO ISIYOTUMIKA"
"MAELEZO KUHUSU MUUNDO"
"Onyesha miundo"
"Ficha miundo"
"MIUNDO INAYOTUMIKA"
"MIUNDO ISIYOTUMIKA"
"Ili uwashe, badilisha uteuzi wa muundo kuwa \'Teua Mwenyewe\'."
"Ili uzime, badilisha uteuzi wa muundo kuwa \'Teua Mwenyewe\'."
"Onyesho"
"Mipangilio ya kina ya onyesho"
"HDMI-CEC"
"Mipangilio ya kina ya sauti"
"Ruhusu hali ya mchezo"
"Kasi ya picha ya kulinganisha maudhui"
"Mtiririko laini"
"Ikihitajika na programu, kifaa chako kitalinganisha kasi yake ya utoaji maudhui na kasi halisi ya picha ya maudhui unayotazama, ikiwa TU TV yako inaweza kuonyesha maudhui kwa mtiririko laini."
"Haina mtiririko laini"
"Ikihitajika na programu, kifaa chako kitalinganisha kasi yake ya utoaji maudhui na kasi halisi ya picha ya maudhui unayotazama. Huenda hii ikasababisha skrini kutoonyesha maudhui yoyote kwa muda mfupi unapoanza kucheza au unapositisha video."
"Kamwe"
"Hata ikihitajika na programu, kifaa chako kamwe hakitajaribu kulinganisha kasi yake ya utoaji maudhui na kasi halisi ya picha ya maudhui unayotazama."
"Ubadilishaji ukubwa wa maandishi"
"Weka ukubwa kuwa %1$d%%"
"Sampuli ya maandishi"
"Wachawi wa Ajabu kutoka Oz"
"Sura ya 11: Mji wa Ajabu wa Johari wa Oz"
"Hata baada ya kulinda macho yao kwa miwani ya kijani, Amina na marafiki zake walishangazwa na mwangaza wa Mji wa ajabu. Mitaa ilikuwa na nyumba maridadi zilizotengenezwa kwa marumaru za kijani na kila mahali kulikuwa na johari zilizong\'aa. Walitembea kwenye njia ya marumaru, na matofali yalipokuwa yameuganishwa, kulikuwa na safu za johari zilizong\'aa kama jua. Madirisha yalitengezwa kwa vioo vya kijani. Anga la Mji na miale ya jua pia ilikuwa ya kijani. \n\nKulikuwa na watu wengi (wanaume, wanawake na watoto) ambao walikuwa wakitembea na wote walikuwa wamevalia nguo za kijani na ngozi yao ilikuwa ya kijani. Watu hawa walimtazama Amina na marafiki zake kwa mshangao. Watoto nao walitoroka na kujificha nyuma ya mama zao walipoona Simba; lakini hakuna aliyewazungumzia. Kulikuwa na maduka mengi mtaani na Amina aliona kuwa bidhaa zilizokuwemo zilikuwa za kijani. Peremende, bisi, viatu, kofia na nguo za aina zote zilikuwa za kijani. Katika sehemu fulani, mtu mmoja alikuwa akiuza juisi ya limau ya kijani, na watoto walilipa sarafu za kijani ili kuinunua. \n\nIlionekana kuwa mji huo haukuwa na farasi wala wanyama wa aina yoyote; watu walibeba bidhaa katika vikapu vya kijani. Kila mtu alionekana mchangamfu na aliyeridhika."
"Uteuzi wa muundo"
"Otomatiki"
"Teua mwenyewe"
"Tumia miundo inayotumika kwenye kifaa"
"Chaguo miundo mwenyewe kwenye miundo inayopatikana"
"MIUNDO INAYOTUMIKA"
"MIUNDO ISIYOTUMIKA"
"HDR10"
"HLG"
"HDR10+"
"Dolby Vision"
"Ukichagua, mfumo utaruhusu programu kuteua muundo wowote wa HDR unaotumika kwenye vifaa vyako. Huenda programu zikachagua muundo ambao si wenye ubora wa juu zaidi."
"Ukichagua, unaweza kuzima mwenyewe miundo ya HDR inayotumika kwenye vifaa vyako inayosababisha matatizo ya uchezaji. Huwezi kuwasha miundo ya HDR isiyotumika kwenye vifaa vyako. Huenda programu zikachagua muundo ambao si wenye ubora wa juu zaidi."
"MAELEZO KUHUSU MUUNDO"
"Onyesha miundo"
"Ficha miundo"
"MIUNDO INAYOTUMIKA"
"MIUNDO ISIYOTUMIKA"
"Ili uzime, badilisha uteuzi wa muundo kuwa \'Teua Mwenyewe\'."
"Ungependa kufuta data iliyo kwenye akiba?"
"Hii itafuta data iliyo kwenye akiba ya programu zote."
"Ongeza kifaa"
"Inaoanisha..."
"Inaunganisha…"
"Hakikuweza kuoanisha"
"Imeghairiwa"
"Imeoanishwa"
"Kifaa"
"Tenganisha"
"Betri %1$d%%"
"Inatenganisha kifaa..."
"Umeunganishwa"
"Badilisha jina"
"Andika jina jipya la kifaa hiki cha kuongezwa"
"Bluetooth inaoanisha."
"Inatafuta vifaa…"
"Kabla hujaoanisha vifaa vyako vya Bluetooth, hakikisha vipo katika hali ya kuoanisha."
"Kifaa kimepatikana na kitaoanisha otomatiki baada ya sekunde %1$s"
"Kitendo hiki hakiwezi kutumika"
"Ombi la Bluetooth la kuoanisha"
"Ili kuoanisha na: <b>%1$s</b>, hakikisha inaonyesha nenosiri hili: <b>%2$s</b>"
"Kutoka: <b>%1$s</b><br>Ungependa kuoanisha na kifaa hiki?"
"Ili kuoanisha na: <b>%1$s<br>Ichape: <b>%2$s, kisha ubonyeze Return au Enter"
"Ili kuoanisha: <b>%1$s</b>, <br>Chapa PIN inayohitajika ya kifaa:"
"Ili kuoanisha na: <b>%1$s</b>, <br>Chapa nenosiri linalohitajika la kifaa:"
"Kwa kawaida 0000 au 1234"
"Oanisha"
"Ghairi"
"%1$s imeunganishwa"
"%1$s imetenganishwa"
"Vidhibiti vya Mbali na Vifaa vya Ziada"
"Bluetooth"
"Zima Bluetooth"
"Hutaweza kufikia programu ya Mratibu wa Google kwenye kidhibiti chako cha mbali ukiwa umezima Bluetooth."
"Oanisha kifaa cha ziada"
"Vifaa vya ziada"
"Kidhibiti cha Mbali"
"Mipangilio ya kidhibiti cha mbali"
"Unganisha"
"Unganisha kwenye %1$s"
"Tenganisha"
"Tenganisha na %1$s"
"Badilisha jina"
"Badilisha jina la kifaa chako kilichounganishwa"
"Sahau"
"Sahau %1$s"
"Anwani ya Bluetooth"
"Imeunganishwa"
"Imetenganishwa"
"Huna ruhusa ya kubadilisha mipangilio ya Bluetooth."
"Tuma maoni"
"Kituo cha Usaidizi"
"Google Cast"
"Tarehe na Saa"
"Lugha"
"Huna ruhusa ya kubadilisha lugha inayotumika kwenye kifaa."
"Kibodi"
"Kibodi na kujaza kiotomatiki"
"Kujaza Kiotomatiki"
"Skrini ya kwanza"
"Utafutaji"
"Google"
"Usalama na Vizuizi"
"Usemi"
"Vifaa vya kuingiza sauti"
"Vyanzo na Vifaa"
"Kudhibiti vifaa vya burudani vya nyumbani"
"Ufikivu"
"Chaguo za wasanidi programu"
"Hakuna"
"Matumizi na uchunguzi"
"Hakuna programu za msimamizi wa kifaa zinazopatikana"
"Imezimwa na msimamizi"
"Haipatikani"
"Programu za msimamizi wa kifaa"
"Hakuna programu zinazotumika"
- Programu %d zinatumika
- Programu %d inatumika
"Imezimwa na msimamizi, sera ya usimbaji fiche, au hifadhi ya hati"
"Maelezo kuhusu kifaa kinachosimamiwa"
"Mabadiliko na mipangilio inayosimamiwa na shirika lako"
"Mabadiliko na mipangilio inayosimamiwa na %s"
"Ili kutoa idhini ya kufikia data yako ya kazini, shirika lako linaweza kubadilisha mipangilio na kusakinisha programu kwenye kifaa chako. \n\nWasiliana na msimamizi wa shirika lako ili upate maelezo zaidi."
"Aina ya maelezo ambayo shirika lako linaweza kuona"
"Mabadiliko yaliyofanywa na msimamizi wa shirika lako"
"Idhini yako ya kufikia kifaa hiki"
"Data inayohusiana na akaunti yako ya kazini, kama vile barua pepe na maelezo ya kalenda"
"Orodha ya programu zilizo kwenye kifaa chako"
"Muda na data iliyotumika katika kila programu"
"Kumbukumbu ya hivi majuzi zaidi ya shughuli kwenye mtandao"
"Ripoti ya hivi karibuni ya hitilafu"
"Kumbukumbu ya hivi majuzi ya usalama"
"Hakuna"
"Programu zilizosakinishwa"
"Idadi ya programu imekadiriwa. Huenda haijumuishi programu ulizosakinisha nje ya Duka la Google Play."
- Angalau programu %d
- Angalau programu %d
"Ruhusa za mahali"
"Ruhusa za maikrofoni"
"Ruhusa za kamera"
"Programu chaguomsingi"
- Programu %d
- Programu %d
"Kibodi chaguomsingi"
"Weka kuwa %s"
"VPN iwe imewashwa kila wakati"
"Kila mara VPN iwe imewashwa kwenye wasifu wako wa binafsi"
"Kila mara VPN iwe imewashwa kwenye wasifu wako wa kazini"
"Seva mbadala ya HTTP ya jumla iwekekwa"
"Stakabadhi zinazoaminika"
"Kitambulisho cha kuaminika katika wasifu wako wa binafsi"
"Kitambulisho cha kuaminika katika wasifu wako wa kazini"
- Angalau vyeti %d vya CA
- Angalau cheti %d cha CA
"Msimamizi anaweza kufunga kifaa na kubadilisha nenosiri"
"Msimamizi anaweza kufuta data yote ya kifaa"
"Data yote ya kifaa ijifute baada ya kujaribu kuweka nenosiri lisilo sahihi mara nyingi mno"
"Data yote ya wasifu wa kazini ijifute baada ya kujaribu kuweka nenosiri lisilo sahihi mara nyingi mno"
- Majaribio %d
- Jaribio %d
"Kifaa hiki kinadhibitiwa na shirika lako."
"Kifaa hiki kinasimamiwa na %s."
" "
"Pata maelezo zaidi"
- Programu za kamera
- Programu ya kamera
"Programu ya kalenda"
"Programu ya anwani"
- Programu za barua pepe
- Programu ya barua pepe
"Programu ya ramani"
- Programu za simu
- Programu ya simu
"Programu ya kivinjari"
"%1$s, %2$s"
"%1$s, %2$s, %3$s"
"Mafunzo"
"Sasisho la mfumo"
"Hatua hii itasasisha programu yako ya mfumo ili upate toleo jipya zaidi. Kifaa chako kitazimika kisha kiwake."
"Sasisho la Mfumo, Hatua hii itasasisha programu yako ya mfumo ili upate toleo jipya zaidi. Kifaa chako kitazimika kisha kiwake."
"Kuhusu"
"Jina la kifaa"
"Washa upya"
"Maelezo ya kisheria"
"Chanzo Kingine"
"Sheria za Google"
"Data ya leseni haipatikani"
"Muundo"
"Toleo la Mfumo wa Uendeshaji wa Android TV"
"Nambari ya ufuatiliaji"
"Muundo wa Mfumo wa Uendeshaji wa Android TV"
- Umebakiza hatua %1$d ili uwe msanidi programu
- Umebakiza hatua %1$d ili uwe msanidi programu
"Matangazo"
"Dhibiti mipangilio yako ya matangazo, kama vile kubadilisha kitambulisho cha kifaa kwa ajili ya matangazo"
"Matangazo, Dhibiti mipangilio yako ya matangazo, kama vile kubadilisha kitambulisho chako cha kifaa kwa ajili ya matangazo."
"Sasa wewe ni msanidi programu!"
"Hakuna haja, tayari wewe ni msanidi programu"
"Haijulikani"
"Hali ya SELinux"
"Imezimwa"
"Inaruhusu"
"Inatekeleza"
"Masisho ya ziada ya mfumo"
"Huenda mtandao unafuatiliwa"
"Nimemaliza"
- Tumia au uondoe vyeti
- Tumia au uondoe cheti
- %s amesakinisha vyeti kwenye kifaa chako ambavyo huenda vikamwezesha kufuatilia shughuli za mtandao wa kifaa chako, ikijumuisha barua pepe, programu na tovuti salama.\n\nIli upate maelezo zaidi kuhusu vyeti hivi, wasiliana na msimamizi wako.
- %s amesakinisha cheti kwenye kifaa chako ambacho huenda kikamwezesha kufuatilia shughuli za mtandao wa kifaa chako, ikijumuisha barua pepe, programu na tovuti salama.\n\nIli upate maelezo zaidi kuhusu cheti hiki, wasiliana na msimamizi wako.
- %s amesakinisha vyeti kwa wasifu wako wa kazini, ambavyo huenda vikamwezesha kufuatilia shughuli za mtandao wa kazini, ikijumuisha barua pepe, programu na tovuti salama.\n\nIli upate maelezo zaidi kuhusu vyeti hivi, wasiliana na msimamizi wako.
- %s amesakinisha cheti kwa wasifu wako wa kazini, ambacho huenda kikamwezesha kufuatilia shughuli za mtandao wa kazini, ikijumuisha barua pepe, programu na tovuti salama.\n\nIli upate maelezo zaidi kuhusu cheti hiki, wasiliana na msimamizi wako.
"Mtu mwingine ana uwezo wa kufuatilia shughuli ya mtandao wako, ikiwa ni pamoja na barua pepe, programu, na tovuti salama. \n\n Kitambulisho cha kuaminika kilichosakinishwa kwenye kifaa chako kinafanikisha hili."
- Angalia vyeti
- Angalia cheti
"Hali"
"Mtandao, nambari za mfululizo na maelezo mengine"
"Mwongozo"
"Maelezo ya udhibiti"
"Tuma maoni kuhusu kifaa hiki"
"Programu ya kuwasha mfumo wa uendeshaji tayari imefunguliwa"
"Unganisha kwenye intaneti kwanza"
"Unganisha kwenye intaneti au uwasiliane na mtoa huduma wako"
"Haipatikani kwenye baadhi ya vifaa vilivyofungwa na mtoa huduma"
"Tafadhali zima kisha uwashe kifaa ili kuwasha kipengele cha ulinzi wa kifaa."
"Imepata %1$s\n\nIlitumika mara ya mwisho tarehe %2$s"
"Kitambulisho cha kifaa"
"Toleo la mitambo ya redio"
"Toleo la kiini"
"Haipatikani"
"Hali"
"Hali ya betri"
"Kiwango cha betri"
"Anwani ya Bluetooth"
"Muda wa matumizi tangu mwisho ilipozimwa"
"Maelezo ya kisheria"
"Hakimiliki"
"Leseni"
"Sheria na masharti"
"Leseni ya Mfumo wa WebView"
"Maelezo kwa Watumiaji"
"Maudhui unayopata kwenye Android TV yanatoka kwa washirika wengine kama vile wasanidi programu na studio za filamu, pamoja na Google. Kwa maelezo zaidi, tafadhali angalia ""g.co/tv/androidtvinfo"
"Sawa"
- "Mbaya"
- "Mzuri Kiasi"
- "Mzuri"
- "Mzuri Zaidi"
"Anwani ya MAC ya kifaa"
"Anwani ya MAC bila utaratibu wowote"
"Nguvu ya mawimbi"
"Faragha"
- "Tumia anwani ya MAC bila utaratibu wowote (chaguomsingi)"
- "Tumia anwani ya MAC ya kifaa"
"Haipatikani"
"Anwani ya MAC bila utaratibu wowote"
"Anwani ya IP"
"Weka jina la mtandao wa Wi-Fi"
"Muunganisho kwa Intaneti"
"Umeunganishwa"
"Hujaunganishwa"
"Chaguo nyinginezo"
"Angalia yote"
"Angalia chache"
"Mitandao inayopatikana"
"Ongeza mtandao mpya"
"Unganisha haraka"
"Kipengele cha kuunganisha haraka hukuwezesha kufikia mtandao wako wa Wifi kwa urahisi kwa kuchanganua msimbo wa QR kwenye simu yako."
"Aina ya usalama"
"Mtandao mwingine..."
"Ruka"
"Hakuna"
"WEP"
"WPA/WPA2 PSK"
"802.1x EAP"
"Inachanganua..."
"Haikuweza kuhifadhi usanidi wa %1$s"
"Haikuweza kuunganisha kwenye %1$s"
"Haikuweza kupata %1$s"
"Nenosiri la Wi-Fi si sahihi"
"Mtandao wa Wi-Fi haukukubali muunganisho"
"Ungependa kuweka Mipangilio ya Seva mbadala na ya IP ya %1$s?"
"Mipangilio ya seva mbadala"
"Jina la seva mbadala:"
"Mlango wa seva mbadala:"
"Seva mbadala zilizorukwa:"
"Mipangilio ya IP"
"Anwani ya IP:"
"Lango:"
"Urefu wa nambari ya mtandao:"
"DNS 1:"
"DNS 2:"
"Mipangilio ya seva mbadala si sahihi"
"Mipangilio ya IP si sahihi"
"%1$s ni mtandao uliohifadhiwa"
"Changanua msimbo wa QR ili uunganishe"
"Jaribu tena"
"Tazama mitandao inayopatikana"
"Inaunganisha kwenye %1$s"
"Inahifadhi usanidi wa %1$s"
"Unganisha"
"Sahau mtandao"
"Hii hufuta maelezo yaliyotumika kuunganisha kwenye mtandao huu, pamoja na nenosiri lililohifadhiwa"
"Unganisha kwenye mtandao wa Wifi kwa kuchanganua msimbo wa QR katika simu yako kisha ufuate maagizo."
"Bonyeza kitufe cha kurudi nyuma ili ughairi"
"Sawa"
"Endelea"
"Badilisha mtandao"
"Badilisha"
"Usibadilishe"
"SAWA"
"Hakuna (inapendekezwa)"
"Hamna"
"Weka mwenyewe"
"DHCP"
"Haibadiliki"
"Taarifa ya hali"
"Chaguo za kina"
"Weka anwani sahihi ya IP"
"Weka anwani sahihi ya lango"
"Weka anwani sahihi ya DNS"
"Weka kiambishi awali cha mtandao chenye urefu kati ya 0 na 32"
"Weka anwani sahihi ya IP.\nMfano: 192.168.1.128"
"Weka anwani sahihi ya IP au usiweke chochote.\nMfano: 8.8.8.8"
"Weka anwani sahihi ya IP au usiweke chochote.\nMfano: 8.8.4.4"
"Weka anwani sahihi ya IP au usiweke chochote.\nMfano: 192.168.1.1"
"Weka urefu sahihi wa kiambishi cha mtandao.\nMfano: 24"
"Jina la mpangishaji si sahihi"
"Orodha hii ya kutengwa si sahihi. Weka orodha ya vikoa vilivyotengwa iliyotenganishwa kwa koma."
"Sehemu ya mlango haiwezi kuwa wazi"
"Kama sehemu ya mpangishi iko wazi, acha sehemu ya mlango wazi"
"Mlango si sahihi"
"Seva mbadala ya HTTP hutumiwa na kivinjari lakini haiwezi kutumiwa na programu nyingine"
"Weka lango sahihi. \nMfano: 8080"
"Weka orodha iliyotenganishwa kwa koma, ya vikoa visivyojumuishwa au usiweke chochote. \nMfano: example.com,mycomp.test.com,localhost"
"Weka jina sahihi la mpangishaji.\nMfano: proxy.example.com"
"Chagua mbinu ya EAP ya %1$s"
"Chagua uthibitishaji wa hatua ya 2 wa %1$s"
"Weka kitambulisho cha %1$s"
"Weka kitambulisho cha siri cha %1$s"
"Umeunganishwa kwenye %1$s"
"Mtandao umeunganishwa"
"Mtandao haujaunganishwa"
"Tayari imeunganishwa kwenye %1$s . Ungependa kuunganisha kwenye mtandao tofauti?"
"mtandao usiojulikana"
"Huna ruhusa ya kubadilisha mtandao wa Wi -Fi."
"SAWA"
"Ghairi"
"Hifadhi"
"Inayopatikana"
"Jumla ya nafasi: %1$s"
"Inakokotoa..."
"Programu"
"Vipakiwa"
"Picha na Video"
"Sauti"
"Mengineyo"
"Data iliyoakibishwa"
"Ondoa"
"Futa Data Yote na Ubadilishe Muundo"
"Futa data yote na uweke iwe hifadhi ya kifaa"
"Futa data yote na uweke iweke hifadhi inayoweza kuondolewa"
"Tayarisha hifadhi ili itumike kama hifadhi ya kifaa"
"Hujaunganishwa"
"Hamishia data kwenye hifadhi hii"
"Hamishia data kwenye hifadhi nyingine"
"Hakuna programu za kuhifadhi nakala"
"Usitumie hifadhi ya kifaa hiki"
"Ili utumie programu au data iliyo katika hifadhi hii, ichomeke tena. Ama, unaweza kuchagua kusahau nafasi hii ya hifadhi ikiwa hifadhi haipatikani. \n\nUkiamua kusahau, data yote iliyo kwenye hifadhi itapotea kabisa.\n\nUnaweza kusakinisha programu upya baadaye, lakini data iliyohifadhiwa kwenye hifadhi hii itapotea."
"Hifadhi ya kifaa"
"Hifadhi unayoweza kuondoa"
"Weka upya"
"%1$s imepachikwa"
"Haikuweza kupachika %1$s"
"Hifadhi ya USB imeunganishwa upya"
"%1$s imeondolewa kwa usalama"
"Haikuweza kuondoa kwa usalama %1$s"
"Haikuweza kupata hifadhi ya kuondoa"
"%1$s imeumbizwa"
"Haikuweza kuumbiza %1$s"
"Tayarisha hifadhi ili itumike kama hifadhi ya kifaa"
"Hii inahitaji hifadhi ya USB kuumbizwa ili iwe salama. Baada ya kuumbiza kwa usalama, hifadhi hii itatumika kwenye kifaa hiki pekee. Kuumbiza hufuta data yote iliyo kwenye hifadhi. Ili usipoteze data, unaweza kuhifadhi nakala."
"Kufuta data yote na kuweka mipangilio upya"
"Baada ya kuumbiza, unaweza kutumia hifadhi hii ya USB katika vifaa vingine. Data yote itafutwa. Hakikisha kuwa umehifadhi nakala kwanza kwa kuhamishia programu kwenye hifadhi nyingine ya kifaa."
"Inaumbiza Hifadhi ya USB…"
"Hii inaweza kuchukua dakika kadhaa. Tafadhali usiondoe hifadhi."
"Chagua hifadhi ambapo utahamishia data"
"Hamishia data kwenye %1$s"
"Hamishia picha zako, faili na data ya programu kwenye %1$s. Hatua hii inaweza kuchukua dakika kadhaa. Baadhi ya programu hazitafanya kazi vizuri wakati wa kuhamisha."
"Hamisha sasa"
"Hamisha baadaye"
"Ilihamishia data kwenye %1$s"
"Haikuweza kuhamishia data kwenye %1$s"
"Data inahamishiwa kwenye %1$s…"
"Hatua hii inaweza kuchukua muda. Tafadhali usiondoe hifadhi. \nBaadhi ya programu hazitafanya kazi vizuri wakati wa kuhamisha."
"Hifadhi hii inaonekana kufanya kazi polepole."
"Unaweza kuendelea, lakini programu zinazohamishwa hadi mahali hapa zinaweza kukwama na uhamishaji wa data unaweza kuchukua muda mrefu. Zingatia kutumia hifadhi ya haraka ili upate utendaji bora."
"Umbizo"
"Hifadhi nakala za programu"
"Programu zimehifadhiwa katika %1$s"
"Programu na data zimehifadhiwa katika %1$s"
"%1$s inapatikana"
"Ondoa hifadhi ya kifaa"
"Programu zilizo kwenye kifaa hiki cha kuhifadhi zitaacha kutumika wakati kitakapoondolewa. Hifadhi hii ya USB imeumbizwa ili itumike kwenye kifaa hiki pekee. Haiwezi kutumika kwenye vifaa vingine."
"Inaondoa %1$s..."
"Hifadhi iliyotumika"
"Inahamisha %1$s…"
"Usiondoe hifadhi wakati wa kuhamisha.\nProgramu ya %1$s kwenye kifaa hiki haitapatikana hadi ukamilishe kuhamisha."
"Ungependa kuacha kutumia hifadhi ya kifaa?"
"Data yako yote iliyohifadhiwa katika hifadhi hii itapotea kabisa ukichagua \'Sahau\'. Je, ungependa kuendelea?"
"Sahau"
"Hifadhi ya USB imeunganishwa"
"Vinjari"
"Weka kama hifadhi ya kifaa"
"Sanidi kama hifadhi inayoweza kuondolewa"
"Ondoa"
"%1$s imeondolewa."
"Baadhi ya programu hazitapatikana au hazitafanya kazi vizuri hadi hifadhi iunganishwe."
"Nafasi ya hifadhi haitoshi."
"Programu haipo."
"Eneo la kusakinisha si sahihi."
"Masasisho ya mfumo hayawezi kusakinisha kwenye hifadhi ya nje."
"Huwezi kusakinisha Kidhibiti cha Vifaa kwenye vifaa vya nje."
"Pata maelezo zaidi"
"Tarehe"
"Saa"
"Weka tarehe"
"Weka saa"
"Weka saa za eneo"
"%1$s, %2$s"
"Tumia mpangilio wa saa 24"
"%1$s (%2$s)"
"Saa na tarehe otomatiki"
- "Tumia muda unaotolewa na mtandao"
- "Zima"
- "Tumia muda unaotolewa na mtandao"
- "Tumia muda unaotolewa na mipasho ya kusafirisha"
- "Zima"
"Kwa ajili ya programu na huduma zote"
"Ilifikiwa Hivi Majuzi Na"
"Hakuna ufikiaji wa hivi majuzi"
"Angalia zote"
"Maikrofoni"
"Ufikiaji wa maikrofoni"
"Idhini ya programu ya kufikia maikrofoni"
"Kamera"
"Ufikiaji wa kamera"
"Idhini ya programu ya kufikia kamera"
"Ufikiaji wa Maikrofoni: %s"
"Ukiwasha, programu na huduma zote zilizoidhinishwa zinaweza kufikia maikrofoni yoyote kwenye kifaa hiki.\n\nVifaa vya sauti vyenye mipangilio maalum havitaathiriwa na kipengele hiki."
"Ufikiaji wa Kamera: %s"
"Ukiwasha, programu na huduma zote zilizoidhinishwa zinaweza kufikia kamera yoyote kwenye kifaa hiki.\n\nVifaa vya kamera vyenye mipangilio maalum havitaathiriwa na kipengele hiki."
"Imewashwa"
"Imezimwa"
"Eneo"
"Ruhusu programu ambazo zimekuomba idhini zitumie maelezo ya eneo lako"
"Idhini ya enao"
"Hali"
"Maombi ya hivi karibuni ya kutambua mahali"
"Hakuna programu iliyotaka kutambua mahali hivi karibuni"
"Matumizi ya betri ya hali ya juu"
"Haitumii chaji nyingi"
"Tumia Wi-Fi kukadiria mahali"
"Hali ya mahali"
"Huduma za mahali"
"Imewashwa"
"Imezimwa"
"Huduma za eneo la Google"
"Huduma za mahali za mtu mwingine"
"Kuonyesha Mahali Ulipo"
"Historia ya Mahali"
"Google hutumia kipengele hiki katika bidhaa kama Google Msaidizi na Ramani za Google. Kuwasha Kuripoti mahali ulipo huruhusu bidhaa yoyote ya Google inayotumia kipengele hiki kuhifadhi na kutumia data ya eneo la kifaa chako ya hivi karibuni zaidi kwa kuihusisha na akaunti yako ya Google."
"Historia ya Mahali inapowashwa kwa akaunti hii, Google inaweza kuhifadhi data ya eneo la kifaa chako kwa matumizi na programu zako.\n\nKwa mfano, Ramani za Google acn inakupa maelekezo na Google Msaidizi inaweza kukuarifu kuhusu trafiki ya safari.\n\nUnaweza kuzima Historia ya Mahali wakati wowote, lakini kufanya hivyo hakutaifuta. Ili utazame na kusimamia Historia ya Mahali pako, tembelea maps.google.com/locationhistory."
"Futa historia ya mahali"
"Hii itafuta yote ambayo Historia ya Mahali imehifadhi kutoka kwa kifaa hiki kwa hii Akaunti ya Google. Huwezi kutengua kufuta huku. Baadhi ya programu, ikiwa ni pamoja na Google Msaidizi, zitaacha kufanya kazi."
"Huduma"
"Mipangilio ya huduma"
"Maandishi yenye utofautishaji bora"
"Njia ya mkato ya ufikivu"
"Washa njia ya mkato ya ufikivu"
"Huduma ya njia ya mkato"
"Ukiwasha njia ya mkato, unaweza kufungua kipengele cha ufikivu kwa kubonyeza kitufe cha \'nyuma\' na \'chini\' pamoja kwa sekunde 3."
"Manukuu"
"Mipangilio ya kugaga maandishi ya manukuu kwenye video"
"Kuonyeshwa"
"Yamewashwa"
"Yamezimwa"
"Onyesha chaguo"
"Mipangilio"
"Lugha"
"Chaguomsingi"
"Ukubwa wa maandishi"
"Mtindo wa manukuu"
"Chaguo maalum"
"Makundi ya fonti"
"Rangi ya maandishi"
"Aina ya kingo"
"Rangi ya ukingo"
"Onyesha mandhari"
"Rangi ya mandharinyuma"
"Uvulivuli wa Mandhari"
"Manukuu yataonekana hivi"
"Hali ya kuonekana kwa maandishi"
"Onyesha kidirisha"
"Rangi ya dirisha"
"Ung\'avu wa dirisha"
"Nyeupe kwenye nyeusi"
"Nyeusi kwenye nyeupe"
"Manjano kwenye nyeusi"
"Manjano kwenye samawati"
"Maalum"
"Nyeupe"
"Nyeusi"
"Nyekundu"
"Kijani"
"Samawati"
"Samawati-Kijani"
"Manjano"
"Majenta"
"Washa"
"Usanidi"
"%1$s: iwashwe?"
"Huduma ya %1$s inaweza kukusanya maandishi yote unayochapa, isipokuwa manenosiri. Hii ni pamoja na data ya kibinafsi kama nambari za kadi ya mkopo."
"%1$s: isimamishwe?"
"Kuchagua sawa kutasimamisha %1$s."
"Kusoma maandishi kwa sauti"
"Kuweka mipangilio ya injini"
"Tamka manenosiri"
"Mtambo unaopendelewa"
"Kasi ya kutamka"
"Chezesha sampuli"
"Sakinisha data ya sauti"
"Kawaida"
"Utatuzi"
"Mfumo wa Uingizaji"
"Uchoraji"
"Ufuatiliaji"
"Programu"
"Usifunge"
"Inakagua HDCP"
"Ukuzaji wa HDMI"
"Ungependa kuzima na uwashe tena?"
"Ili kusasisha mipangilio hii, kifaa chako kinahitaji kuzimwa na kiwashwe upya"
"Katu usikague"
"Chunguza maudhui ya DRM pekee"
"Kagua kila wakati"
"Kuweka Kumbukumbu ya Bluetooth HCI"
"Anwani ya barua pepe"
"Utatuzi wa USB"
"Ruhusu maeneo ya majaribio"
"Chagua programu ya utatuaji"
"Subiri kitatuaji"
"Thibitisha programu kupitia USB"
"Kagua iwapo programu zilizosakinishwa kupitia ADB/ADT zina tabia ya kudhuru"
"Uwekaji kumbukumbu za WiFi kutumia sauti"
"Washa uwekaji kumbukumbu za WiFi kutumia sauti"
"Onyesha miguso"
"Mahali pa kiashiria"
"Onyesha mipaka ya mpangilio"
"Onyesha masasisho ya mtazamo wa GPU"
"Onyesha safu ya maunzi"
"Onyesha utoaji zaidi wa GPU"
"Onyesha masasisho ya uso"
"Mizani ya uhuishaji wa Dirisha"
"Mizani ya ubadilikaji wa uhuishaji"
"Mizani ya muda wa uhuishaji"
"Hali makinifu imewashwa"
"Utekelezaji wa wasifu wa GPU"
"Washa ufuatiliaji"
"Usihifadhi shughuli"
"Kikomo cha kiwango uchakataji wa chini kwa chini"
"Onyesha ANR zote"
"Zima hali tuli"
"Tumia kwa ajili ya maudhui ya DRM pekee"
"Boresha onyesho ili upate ubora wa upeo wa juu ama makadirio ya fremu. Hii inaathiri tu onyesho za HD za Hali ya juu. Kubadilisha hii kutazima na kuwashe tena kifaa chako."
"Washa kumbukumbu ya Bluetooth HCI snoop"
"Hali ya kutatua wakati USB imeunganishwa"
"Programu ya utatuaji husubiri kitatuaji kiambatishe kabla ya kutekeleza"
"Onyesha mipaka ya picha, kingo, nk."
"Angaza maoni ndani ya madirisha wakati yanatolewa na GPU"
"Angaza kijani safu za maunzi zinaposasisha"
"Kutoka kwa bora hadi mbovu: samawati, kijani, nyekundu hafifu, nyekundu"
"Angaza eneo lote la dirisha linaposasisha"
"Fanya skrini imemeteke programu zinapoendeleza shughuli ndefu kwenye skrini kuu"
"Pima muda wa kutungiliza katika adp shell dumpys gfxinfo"
"Vianzo visivyojulikana"
"Ruhusu programu kutoka vyanzo vingine kando na Duka la Google Play ziwekwe"
"Ruhusu vyanzo visivyojulikana"
"Kifaa chako na data ya binafsi ipo hatarini zaidi ya kushambuliwa na programu kutoka vyanzo visivyojulikana. Unakubali kuwa utawajibika kikamilifu kwa uharibifu wowote utakaotokea kwa kifaa chako au data yoyote itakayopotea kutokana na kutumia programu hizi."
"Haijawahi"
"Kwa maudhui ya DRM"
"Kila wakati"
"Ubora wa juu"
"Makadirio bora ya fremu"
"Zima"
"Onyesha maeneo yaliyoondolewa"
"Onyesha kihesabu kilichoondolewa"
"Hakuna chochote"
"Hamna"
- "Uhuishaji umezimwa"
- "Mizani ya uhuishaji .5x"
- "Mizani ya uhuishaji 1x"
- "Mizani ya uhuishaji 1.5x"
- "Mizani ya uhuishaji 2x"
- "Mizani ya uhuishaji 5x"
- "Mizani ya uhuishaji 10x"
"Zima"
"Kwenye skrini kama pau"
"Kiwango wastani"
"Hakuna michakato ya chini kwa chini"
"Angalau mchakato 1"
"Angalau michakato 2"
"Angalau michakato 3"
"Angalau michakato 4"
"Polepole sana"
"Polepole"
"Kawaida"
"Haraka"
"Haraka sana"
"Mipangilio ya %1$s"
"Kibodi inayotumika"
"Sanidi"
"Chaguo za kibodi"
"Huduma ya Sasa ya Kujaza Kiotomatiki"
"Chagua Huduma ya Kujaza Kiotomatiki"
"Hamna"
"<b>Hakikisha kuwa unaiamini programu hii</b> <br/> <br/> <xliff:g id=app_name example=Huduma ya nenosiri>%1$s</xliff:g> hutumia maudhui kwenye skrini yako kubaini kinachoweza kujazwa kiotomatiki."
"Inahesabu..."
"Chagua mtandao wako wa Wi-Fi"
"Kipe jina jipya"
"Onyesho la Wi-Fi"
"PIN inahitajika"
"Kamilisha kitendo ukitumia"
"Ungependa kutumia chaguo hili kwa kitendo hiki wakati wote?"
"Tumia wakati wote"
"Mara moja tu"
"Hakuna programu zinazoweza kufanya tendo hili."
"Nyuma"
"vifaa vya kuingiza sauti"
"Kidhibiti cha Kielektroniki cha Mtumiaji (CEC)"
"Mipangilio ya kudhibiti kifaa"
"Blu-ray"
"Kebo"
"DVD"
"Kifaa cha michezo ya video"
"Aux"
"Jina maalum"
"Weka jina la kifaa cha %1$s."
"Imefichwa"
"Onyesha kifaa hiki"
"Jina"
"Kidhibiti cha HDMI"
"Ruhusu runinga idhibiti vifaa vya HDMI"
"Kipengele cha kuwasha kifaa otomatiki kimeziwa"
"Zima vifaa vya HDMI kwa kutumia runinga"
"Kipengele cha kuwasha runinga otomatiki kimewashwa"
"Washa runinga kwa kutumia kifaa cha HDMI"
- Vifaa Vilivyounganishwa
- Kifaa Kilichounganishwa
- Vifaa ambavyo Havina Shughuli
- Kifaa ambacho Hakina Shughuli
- Vifaa ambavyo Havijaunganishwa
- Kifaa ambacho Hakijaunganishwa
"Zuia ufikiaji wa programu na maudhui mengineyo katika akaunti yako"
"Wasifu Uliozuiwa"
"Inadhibitiwa na %1$s"
"Programu hii haitumiki katika wasifu zilizowekewa vikwazo"
"Programu hii inaweza kufikia akaunti zako"
"Mahali"
"Ruhusu programu zitumie maelezo yako ya eneo"
"Badili hadi mfumo wenye vizuizi"
"Ondoa mfumo wenye vizuizi"
"Futa mfumo wenye vizuizi"
"Unda wasifu uliodhibitiwa"
"Mipangilio"
"Programu zilizoruhusiwa"
- Programu %d zimeruhusiwa
- Programu 1 imeruhusiwa
"Imeruhusiwa"
"Hairuhusiwi"
"Geuza vizuizi viwe utakavyo"
"Kidogo tu..."
"Badilisha pin"
"%1$s\n%2$s"
"Programu hii inaweza kufikia akaunti zako. Inadhibitiwa na %1$s"
"Weka PIN ili uangalie kituo hiki"
"Weka PIN ili uangalie kipindi hiki"
"Weka PIN"
"Sanidi PIN mpya"
"Weka tena PIN mpya"
"Weka PIN ya zamani"
"Umeweka PIN isiyo sahihi mara. \n Jaribu tena baada ya sekunde %1$d."
"PIN si sahihi, jaribu tena"
"Jaribu tena, PIN hailingani"
"Weka nenosiri la %1$s"
"Chagua %1$s ili uendelee."
"Nimemaliza"
"Imeunganishwa"
"Imehifadhiwa"
"Toleo la %1$s"
"Fungua"
"Ilazimishe ikome"
"Ukilazimisha programu kuzima, inaweza kutofanya vizuri."
"Ondoa"
"Ondoa masasisho"
"Masasisho yote ya programu hii ya mfumo wa Android yataondolewa."
"Zima"
"Unataka kuzima programu hii?"
"Washa"
"Unataka kuwasha programu hii?"
"Hifadhi iliyotumika"
"%1$s zimetumika katika %2$s"
"Futa data"
"Data yote ya programu hii itafutwa kabisa.\nHii inajumuisha faili, mipangilio, akaunti, hifadhidata zote na mengineyo."
"Futa machaguo-msingi"
"Imewekwa ifungue programu hii kwa vitendo fulani"
"Hakuna chaguomsingi zilizowekwa"
"Futa data iliyoakibishwa"
"Arifa"
"Chanzo Kingine"
"Ruhusa"
"Programu haipatikani"
"SAWA"
"Thibitisha"
"Ghairi"
"Washa"
"Zima"
"Zima skrini"
"Taswira ya skrini"
"Anza sasa"
"Muda kabla ya kuanzisha"
"Itaanzisha taswira ya skrini baada ya kipindi cha hali tuli. Skrini ya kifaa chako itazimika ikiwa hujachagua taswira ya skrini."
"Baada ya %1$s za kutotumika"
"Zima skrini"
"Baada ya %1$s"
"Zima skrini baada ya"
"Ruhusu uzimaji skrini"
"Wakati wa kucheza maudhui"
"Thibitisha mipangilio ya Kiokoa Nishati"
"Tafadhali thibitisha kuwa ungependa iwe %1$s. Huenda hii ikaongeza kiwango cha nishati kinachotumika."
"Hakuna akaunti ambayo kwa sasa inahifadhi nakala za data"
"Je, ungependa kuacha kuhifadhi nakala za manenosiri ya Wi-Fi, alamisho, mipangilio mingine na data ya programu, na ufute nakala zote kwenye seva za Google?"
"Hifadhi nakala rudufu za data yangu"
"Akaunti mbadala"
"Rejesha kiotomatiki"
"Rejesha mipangilio ya kiwandani ya kifaa"
"Hatua hii itaejesha mipangilio ambayo kifaa chako kilitoka nayo kiwandani na itafuta data yote, akaunti, faili na programu zote zilizopakuliwa."
"Hatua hii itaejesha mipangilio ambayo kifaa chako kilitoka nayo kiwandani na itafuta data yote, akaunti, faili na programu zote zilizopakuliwa."
"Kurejesha Mipangilio Iliyotoka nayo Kiwandani, Hatua hii itaejesha mipangilio ambayo kifaa chako kilitoka nayo kiwandani na itafuta data yote, akaunti, faili na programu zote zilizopakuliwa."
"Je, ungependa kufuta maelezo yako yote ya binafsi na programu zilizopakuliwa kwenye kifaa hiki? Huwezi kutendua kitendo hiki!"
"Futa kila kitu"
"Chagulia %1$s yako jina"
"Kipe kifaa chako jina ili uweze kukitambua unapokitumia kutuma maudhui au kuunganisha kwenye vifaa vingine."
- "Android TV"
- "TV ya Sebuleni"
- "TV ya Chumba cha Burudani"
- "TV ya Chumba cha Kulala"
"Weka jina maalum..."
"Badilisha jina la %1$s hii"
"%1$s hii kwa sasa inaitwa \"%2$s\""
"Weka jina la kifaa chako"
"Tumia jina hili unapotumia simu yako kutuma picha, video na maudhui mengine"
"Badilisha"
"Usibadilishe"
"Ruhusa"
"Ruhusa za programu"
"Unaruhusu programu %1$d kati ya %2$d"
"Ombi la kuruhusu Bluetooth"
"Kiwango cha rekebisho la usalama la Mfumo wa Uendeshaji wa Android TV"
"Chagua programu"
"(Ya majaribio)"
"Washa tena katika hali salama"
"Ungependa kuwasha tena katika hali salama?"
"Hali hii itazima programu zote za waundaji wengine ambazo umesakinisha. Zitarejeshwa utakapowasha tena."
"Inarekodi ripoti ya hitilafu"
"Kibodi pepe zinazopatikana"
"Dhibiti kibodi"
"Imeruhusiwa"
"Hairuhusiwi"
"Ufikiaji wa matumizi"
"Ufikiaji wa matumizi huruhusu programu kufuatilia programu zingine unazotumia na mara unazozitumia, pamoja na mtoa huduma, mipangilio ya lugha na maelezo yako mengine."
"Kuboresha matumizi ya betri"
"Boresha jinsi programu zinavyotumia betri"
"Hakuna programu zinazohitaji kuboresha matumizi ya betri"
"Haijaboreshwa"
"Kuboresha matumizi ya betri"
"Mipangilio ya kuboresha matumizi ya betri haipo"
"Kufikia arifa"
"Hakuna programu zilizosakinishwa ambazo zimeomba kufikia arifa."
"Programu hizi zitaweza kusoma arifa zote ikiwa ni pamoja na maelezo ya kibinafsi kama vile majina ya anwani na SMS unazopokea. Zitaweza pia kuondoa arifa au kusababisha shughuli za vitufe vya vitendo vilivyomo."
"Inahitajika na mfumo"
"Kufikia saraka"
"Programu hizi zina ruhusa ya kufikia sakara fulani."
"%1$s (%2$s)"
"Onyesha juu ya programu nyinginezo"
"Programu ionekane juu ya zingine"
"Ruhusu programu ionekane juu ya programu nyinginezo unazotumia. Huenda hali hii ikaathiri jinsi unavyotumia programu hizo au kubadilisha jinsi zinavyoonekana au kufanya kazi."
"Badilisha mipangilio ya mfumo"
"Inaweza kubadilisha mipangilio ya mfumo"
"Idhini hii huruhusu programu kubadilisha mipangilio ya mfumo"
"Ndiyo"
"La"
"Picha ndani ya picha"
"Ruhusu picha ndani ya picha"
"Hujasakinisha programu yoyote inayoweza kutumia kipengele cha Picha ndani ya picha"
"Ruhusu programu ifungue kidirisha cha picha ndani ya picha ukiwa umefungua programu au baada ya kuifunga (kwa mfano, ili uendelee kutazama video). Kidirisha hiki kitaonekana juu ya programu nyingine unazotumia."
"Ruhusu programu ziweke kengele na ratiba za vitendo vinavyozingatia muda. Hatua hii huruhusu programu kuendeshwa chinichini na huenda hii ikaongeza nishati inayotumika.\n\nUkizima ruhusa hii, kengele na ratiba za vitendo vinavyozingatia muda zilizowekwa na programu hii hazitafanya kazi."
"Idhini maalum ya kufikia programu"
"%1$s, %2$s"
"Sauti"
"Rekodi sauti"
"Zima ili uache kurekodi sauti"
"Washa ili uanze kurekodi sauti papo hapo"
"Cheza sauti iliyorekodiwa"
"Hifadhi sauti iliyorekodiwa"
"Muda wa kusubiri kabla ya kuanza kusoma"
"Muda wa kusubiri kabla ya kuanza kurekodi sauti"
"Muda wa faili isiyo na sauti"
"Imeshindwa kuanza kurekodi sauti."
"Imeshindwa kurekodi sauti."
"Kiokoa Data"
"Rekebisha ubora wa video kiotomatiki ili utumie kiasi kidogo cha data ya simu"
"Arifa na matumizi ya data"
"Unaweza kuunganisha kwenye intaneti ukitumia Wi-Fi, Ethaneti au mtandaopepe kwenye simu yako. Ili upate usaidizi zaidi, tembelea ""g.co/network""."
"Kitendo hakiruhusiwi"
"Haiwezi kubadilisha sauti"
"Huruhusiwi kupiga simu"
"Huruhusiwi kutuma SMS"
"Kamera imezimwa na msimamizi"
"Huruhusiwi kupiga picha za skrini"
"Haiwezi kufungua programu"
"Ikiwa una maswali, wasiliana na msimamizi wako wa TEHAMA"
"Maelezo zaidi"
"Msimamizi wako anaweza kufuatilia na kudhibiti programu na data zinazohusiana na wasifu wako wa kazini, ikiwa ni pamoja na mipangilio, ruhusa, ufikiaji wa shirika, shughuli za mtandao na maelezo ya mahali kilipo kifaa."
"Msimamizi wako anaweza kufuatilia na kudhibiti programu na data zinazohusiana na mtumiaji huyu, ikiwa ni pamoja na mipangilio, ruhusa, ufikiaji wa shirika, shughuli za mtandao na maelezo ya mahali kilipo kifaa."
"Msimamizi wako anaweza kufuatilia na kudhibiti programu na data zinazohusiana na kifaa hiki, ikiwa ni pamoja na mipangilio, ruhusa, ufikiaji wa shirika, shughuli za mtandao na maelezo ya mahali kilipo kifaa."
"Ondoa wasifu wa kazini"
"Programu ya msimamizi wa kifaa"
"Zima programu ya msimamizi katika kifaa hiki"
"Ondoa programu"
"Zima na uondoe"
"Programu za msimamizi wa kifaa"
"Ungependa kuanza kutumia programu ya msimamizi wa kifaa?"
"Anza kutumia programu ya msimamizi wa kifaa"
"Ukiwasha programu hii ya msimamizi, itaruhusu %1$s kutekeleza mambo yafuatayo:"
"Kifaa hiki kitadhibitiwa na kufuatiliwa na %1$s."
"Programu hii ya msimamizi imewashwa na inaruhusu %1$s kutekeleza mambo yafuatayo:"
"Ukiendelea, mtumiaji wa programu yako atasimamiwa na msimamizi wako, ambaye anaweza pia kuhifadhi data husika, pamoja na data yako ya binafsi.\n\nMsimamizi wako ana uwezo wa kufuatilia na kudhibiti mipangilio, kufikia programu na data inayohusiana na mtumiaji huyu, ikijumuisha shughuli za mtandao na maelezo ya mahali kilipo kifaa chako."
"Ungependa kushiriki ripoti ya hitilafu?"
"Msimamizi wako wa TEHAMA ameomba ripoti ya hitilafu ili kusaidia katika utatuzi wa hitilafu kwenye kifaa hiki. Programu na data zinaweza kushirikiwa."
"Msimamizi wako wa TEHAMA ameomba ripoti ya hitilafu ili kusaidia katika utatuzi wa hitilafu katika kifaa hiki. Huenda hatua hii ikashiriki programu na data na kupunguza kasi ya kifaa chako kwa muda."
"Ripoti hii ya hitilafu inashirikiwa na msimamizi wako wa TEHAMA. Wasiliana naye kwa maelezo zaidi."
"Shiriki"
"Kataa"
"Kifaa kitatumia %1$s"
"Hakuna vifaa vilivyopatikana. Hakikisha kuwa umewasha vifaa na vinaweza kuunganishwa."
"Jaribu tena"
"Hitilafu fulani imetokea. Programu imeghairi ombi la kuchagua kifaa."
"Imeunganisha"
"Onyesha yote"
"Inatafuta"
"Vituo na Vyanzo"
"Vituo, vyanzo vya nje"
"Vituo"
"Vyanzo vya nje"
"Picha, skrini, sauti"
"Picha"
"Skrini"
"Sauti"
"Umeme na Nishati"
"Mipangilio inayotumika unapowasha"
"Weka upya"