"Nyenzo za Wi-Fi ya Mfumo"
"Unganisha kwenye mtandao wa Wi‑Fi unaotumiwa na mtu yeyote"
"Inaunganisha kwenye mtandao wa Wi‑Fi"
"Imeunganisha kwenye mtandao wa Wi-Fi"
"Imeshindwa kuunganisha kwenye mtandao wa Wi‑Fi"
"Gusa ili uone mitandao yote"
"Unganisha"
"Mitandao yote"
"Hali ya mtandao"
"Arifa za mtandao"
"Mtandao unapatikana"
"Ungependa kuruhusu mitandao inayopendekezwa ya Wi-Fi?"
"Mitandao inayopendekezwa kwa ajili ya %s. Huenda kifaa kikaunganisha kiotomatiki."
"Ruhusu"
"Hapana"
"Ungependa kuunganisha kwenye Wi‑Fi ya %s?"
"Mitandao hii hupokea kitambulisho cha SIM kinachoweza kutumika ili kufuatilia mahali kifaa kilipo"
"Unganisha"
"Usiunganishe"
"Ungependa kuthibitisha muunganisho?"
"Ukiunganisha, huenda mitandao ya Wi-Fi ya %s ikafikia au kushiriki kitambulisho cha kipekee kinachohusishwa na SIM yako. Huenda hii ikaruhusu ufuatiliaji wa mahali kifaa chako kilipo."
"Unganisha"
"Usiunganishe"
"Wi‑Fi itawashwa kiotomatiki"
"Unapokuwa karibu na mtandao uliohifadhiwa wenye ubora wa juu"
"Usiwashe tena"
"Wi‑Fi imewashwa kiotomatiki"
"Uko karibu na mtandao uliohifadhiwa: %1$s"
"Imeshindwa kuunganisha Wi-Fi"
" inao muunganisho duni wa wavuti."
"Ungepenga kuruhusu muunganisho?"
"Programu ya %1$s ingependa kuunganisha kwenye Mtandao wa Wifi wa %2$s"
"Programu"
"Kubali"
"Kataa"
"Sawa"
"Mwaliko umetumwa"
"Mwaliko wa kuunganisha"
"Kutoka:"
"Kwa:"
"Charaza PIN inayohitajika:"
"PIN:"
"Kompyuta ndogo itaukata muunganisho kwa muda kutoka kwenye Wi-Fi inapokuwa imeunganishwa kwenye %1$s"
"Kifaa chako cha Android TV kitatenganishwa na Wi-Fi kwa muda wakati kimeunganishwa kwenye %1$s"
"Simu itaukata muunganisho kwa muda kutoka kwenye Wi-Fi inapokuwa imeunganishwa kwenye %1$s"
"Sawa"
"Imeshindwa kuunganisha kwenye %1$s"
"Gusa ili ubadilishe mipangilio ya faragha na ujaribu tena"
"Ungependa kubadilisha mipangilio ya faragha?"
"Ili kuunganisha, %1$s inahitaji kutumia anwani ya MAC ya kifaa chako, kitambulishi cha kipekee. Kwa sasa, mipangilio yako ya faragha ya mtandao huu inatumia kitambulishi kwa nasibu \n\nMabadiliko haya yanaweza kuruhusu vifaa vilivyo karibu nawe vifuatilie mahali kifaa chako kilipo."
"Badilisha mipangilio"
"Imesasisha mipangilio. Jaribu kuunganisha tena."
"Imeshindwa kubadilisha mipangilio ya faragha"
"Mtandao haupatikani"
"%1$s : Hitilafu ya 32760 ya uthibitishaji wa EAP"
"%1$s : Hitilafu ya 32761 ya uthibitishaji wa EAP"
"%1$s : Hitilafu ya 32762 ya uthibitishaji wa EAP"
"%1$s : Hitilafu ya 32763 ya uthibitishaji wa EAP"
"%1$s : Hitilafu ya 32764 ya uthibitishaji wa EAP"
"%1$s : Hitilafu ya 32765 ya uthibitishaji wa EAP"
"%1$s : Hitilafu ya 32766 ya uthibitishaji wa EAP"
"Mtandaopepe umezimwa"
"Hakuna vifaa vilivyounganishwa. Gusa ili ubadilishe."
"Wi-Fi imeondolewa"
"Ili uunganishe kwenye %1$s, weka SIM ya %2$s"