"Kisakinishaji Cheti"
"Chagua cheti"
"Chopoa cheti"
"Zinatolewa..."
"Chopoa kutoka kwa %s"
"Kipe cheti hiki jina"
"Jina la cheti"
"Chapisha nenosiri ili kudondoa vyeti."
"Furushi lina:"
"Vyeti katika hifadhi-vitufe ya PKCS12."
"ufunguo wa mtumiaji mmoja"
"Algoriti:"
"cheti cha mtumiaji mmoja"
"Cheti kimoja cha CA"
"Vyeti vya %d CA"
"Chapa nenosiri sahihi."
"Chapa nenosiri."
"Chapa jina."
"Chapisha jina ambalo lina herufi na nambari tu."
"Haikuweza kuhifadhi cheti. Hifadhi ya hati haijawezeshwa au haijaanzilishwa vizuri."
"Cheti hakijasakinishwa."
"Hakuna cheti cha kusakinisha."
"Cheti ni batili."
"Unatakiwa uwe na ufunguo wa faragha ili usakinishe cheti"
"Unatakiwa uwe na cheti ili usakinishe ufunguo wa faragha"
"Chagua aina ya cheti"
"Sakinisha vyeti vya CA katika Mipangilio"
"Ni sharti usakinishe cheti hiki kutoka %1$s katika Mipangilio. Sakinisha vyeti vya CA kutoka mashirika unayoamini pekee."
"Funga"
"Imeshindwa kutumia faili hii"
"Funga"
"Faili hii haiwezi kutumika kama %1$s"
"Cheti"
"Cheti cha CA"
"Cheti cha mtumiaji wa programu na VPN"
"Cheti cha Wi-Fi"
"Cheti cha CA kimesakinishwa"
"Cheti cha mtumiaji kimesakinishwa"
"Cheti cha Wi-Fi kimesakinishwa"
"Haikuweza kusakinisha kwa sababu cheti ni kikubwa mno."
"Haikuweza kusakinisha kwa sababu faili ya cheti haikupatikana."
"Haikuweza kusakinisha kwa sababu faili ya cheti haikuweza kusomwa."
"Hitilafu ya muda. Tafadhali jaribu tena baadaye."
"Mmiliki wa kifaa hiki tu ndiye awezaye kusakinisha vyeti."
"Matumizi ya kitambulisho:"
- "VPN na programu"
- "Wi-Fi"
"Kidokezo: Huenda mtoaji wa cheti hiki akakagua data yote inayoingia na kutoka kwenye kifaa hiki."
"Wasifu wa Wi-Fi"
"Maelezo ya %s"
"Maelezo"
"Sakinisha"
"Inasakinisha"
"Ghairi"
"Ondoa"
"Hamna"
"Jina: %1$s\nFQDN: %2$s\nUbia wa Mashirika ya Watoa Huduma: %3$s\nEneo: %4$s\nMbinu ya uthibitishaji: EAP-%5$s\n"
"Jina la mtumiaji: %s\n"
"Cheti cha kiteja:\n%1$s\nMsimbo: %2$s\n"
"SIM: %s\n"
"Cheti unachokiamini:\n%s\n"
"Kitambulisho kimesakinishwa"
"Kitambulisho cha %1$s kimeongezwa kwenye mitandao iliyohifadhiwa ya Wi-Fi."
"NIMEMALIZA"
"Sakinisha kitambulisho cha Wi-Fi ili uunganishe kwenye mitandao inayopatikana kupitia %1$s."
"Faili iliyopakuliwa ina matatizo na haiwezi kusakinishwa. Hakikisha kuwa ulipakua faili hiyo kutoka chanzo sahihi."
"Haiwezi kusakinisha kitambulisho cha Wi-Fi. Jaribu kupakua faili tena."
"Usakinishaji umeghairiwa"
"Haiwezi kusakinisha"
"Washa Wi-Fi kisha ujaribu tena."