"Bandika" "Muundo huru" "Hakuna vipengee vya hivi karibuni" "Mipangilio ya matumizi ya programu" "Ondoa zote" "Programu za hivi karibuni" "%1$s, %2$s" "< dak 1" "Umebakisha %1$s leo" "Mapendekezo ya programu" "Programu zote" "Programu zako zinazopendekezwa" "Pata mapendekezo ya programu kwenye sehemu ya chini ya Skrini yako ya kwanza" "Pata mapendekezo ya programu katika safu ya vipendwa ya Skrini yako ya kwanza" "Fikia kwa urahisi programu unazotumia sana moja kwa moja kwenye Skrini ya kwanza. Mapendekezo yatabadilika kulingana na ratiba zako. Programu zilizo kwenye sehemu ya chini zitahamishiwa kwenye Skrini yako ya kwanza." "Fikia kwa urahisi programu unazotumia sana moja kwa moja kwenye Skrini ya kwanza. Mapendekezo yatabadilika kulingana na utumiaji wako. Programu zilizo katika safu ya vipendwa zitahamishiwa kwenye Skrini yako ya kwanza." "Fikia kwa urahisi programu unazotumia zaidi, moja kwa moja kwenye Skrini ya kwanza. Mapendekezo yatabadilika kulingana na ratiba zako. Programu zilizo kwenye safu ya chini zitahamishiwa kwenye folda mpya." "Pata mapendekezo ya programu" "Hapana" "Mipangilio" "Programu zinazotumiwa zaidi huonekana hapa na hubadilika kulingana na ratiba" "Buruta programu kutoka kwenye safu ya chini ili upate mapendekezo ya programu" "Mapendekezo ya programu yamewekwa kwenye nafasi isiyo na kitu" "Mapendekezo ya programu yamewashwa" "Umezima mapendekezo ya programu" "Programu iliyotabiriwa: %1$s" "Hakikisha unatelezesha kidole kuanzia ukingo wa kulia kabisa au ukingo wa kushoto kabisa." "Hakikisha unatelezesha kidole kuanzia ukingo wa kulia au kushoto kuelekea katikati ya skrini na uachilie." "Umejifunza jinsi ya kutelezesha kidole kuanzia kulia ili kurudi nyuma. Sasa jifunze jinsi ya kubadilisha programu." "Umekamilisha ishara ya kurudi nyuma." "Hakikisha hutelezeshi kidole karibu sana na sehemu ya chini ya skrini." "Kubadilisha hisi ya ishara ya nyuma, nenda kwenye Mipangilio" "Telezesha kidole ili urudi nyuma" "Ili urudi kwenye skrini iliyotangulia, telezesha kidole kuanzia ukingo wa kushoto au wa kulia kuelekea katikati ya skrini." "Hakikisha unatelezesha kidole juu kuanzia ukingo wa chini wa skrini." "Hakikisha kuwa husimamishi kabla ya kuachilia." "Hakikisha unatelezesha kidole kuelekea juu." "Umekamilisha ishara ya kwenda kwenye Skrini ya kwanza. Sasa jifunze jinsi ya kurudi nyuma." "Umekamilisha ishara ya kwenda kwenye Skrini ya kwanza." "Telezesha kidole ili uende kwenye skrini ya kwanza" "Telezesha kidole juu kuanzia chini ya skrini yako. Ishara hii kila wakati hukupeleka kwenye Skrini ya kwanza." "Hakikisha unatelezesha kidole juu kuanzia ukingo wa chini wa skrini." "Jaribu kushikilia dirisha kwa muda mrefu kabla ya kuachilia." "Hakikisha unatelezesha kidole kuelekea juu, kisha usimamishe." "Umejifunza jinsi ya kutumia ishara. Ili uzime ishara, nenda kwenye Mipangilio." "Umekamilisha ishara ya kubadilisha programu." "Telezesha kidole ili ubadilishe programu" "Ili ubadili kati ya programu, telezesha kidole juu kuanzia sehemu ya chini ya skrini yako, ushikilie, kisha uachilie." "Kila kitu kiko tayari" "Nimemaliza" "Mipangilio" "Jaribu tena" "Safi!" "Mafunzo ya %1$d kati ya %2$d" "Tayari!" "Telezesha kidole juu ili uende kwenye skrini ya kwanza" "Uko tayari kuanza kutumia simu yako" "Mipangilio ya usogezaji kwenye mfumo" "Shiriki" "Picha ya skrini" "Kitendo hiki hakiruhusiwi na programu au shirika lako" "Ungependa kuruka mafunzo ya usogezaji?" "Utapata mafunzo haya baadaye katika programu ya %1$s" "Ghairi" "Ruka"