"Huenda programu zikawa na maudhui ambayo hayafai hadhira ya watoto wa umri wa chini ya miaka 15. Kwa hivyo, hiari ya wazazi inahitajika."
"Huenda programu zikawa na maudhui yasiyoruhusiwa kwa watazamaji wa umri wa chini ya miaka 19."
"Mazungumzo yanayochochea ngono"
"Lugha ya matusi"
"Maudhui ya ngono"
"Vurugu"
"Vurugu ya dhahania"
"Kipindi hiki kimetayarishwa kuwafaa watoto wa marika yote."
"Kipindi hiki kimetayarishwa kwa ajili ya watoto walio na umri wa miaka 7 na zaidi."
"Wazazi wengi zaidi wataona kuwa kipindi hiki kinafaa kwa umri wowote."
"Kipindi hiki kina maudhui ambayo wazazi wanaweza kuona kuwa hayafai watoto wao wachanga zaidi. Wazazi wengi wanaweza kupendelea kukitazama na watoto wao wachanga."
"Kipindi hiki kina maudhui ambayo wazazi wengi wataona kuwa hayafai kwa watoto walio na umri wa chini ya miaka 14."
"Kipindi hiki kimeundwa maalum kwa kutazamwa na watu wazima na hivyo basi huenda kisiwafae watoto wenye umri wa chini ya miaka 17."
"Ukadiriaji wa filamu"
"Hadhira ya jumla. Kipindi ambacho hakitawaudhi wazazi endapo watoto watatazama."
"Mwongozo wa wazazi unapendekezwa. Baadhi ya maudhui yanaweza kuwa hayafai watoto."
"Wazazi wanatahadharishwa. Baadhi ya maudhui yanaweza kuwa hayafai watoto wanaokaribia kuwa chipukizi."
"Inadhibitiwa.Yana maudhui ya watu wazima. Wazazi wanashauriwa kupata maelezo zaidi kuihusu filamu kabla ya kuandamana na watoto wao wadogo kuitazama."
"Mtu yeyote mwenye umri wa chini ya miaka 17 haruhusiwi. Watu wazima tu. Watoto hawaruhusiwi."