"Mandhari"
"Aina za mandhari"
"Weka Mandhari"
"Inaweka mandhari..."
"Jaribu tena"
"Imeshindwa kuweka mandhari."
"Imeshindwa kupakia mandhari. Picha imeharibika au haipatikani."
"Mandhari yaliyopo"
"Mandhari ya kila siku"
"Skrini ya Kwanza na Iliyofungwa"
"Skrini ya kwanza"
"Skrini iliyofungwa"
"Skrini ya Kwanza na Iliyofungwa"
"Weka madhari"
"Skrini ya kwanza"
"Skrini iliyofungwa"
"Skrini ya kwanza na skrini iliyofungwa"
"Mandhari ya Picha Yanayozunguka"
"Ili kuonyesha mandhari yanayotumika kwa sasa hapa, %1$s inahitaji idhini ya kufikia hifadhi ya kifaa chako."
"Ili kuonyesha hapa mandhari yaliyopo sasa, programu ya Mandhari inahitaji ruhusa ya kufikia hifadhi ya kifaa chako.\n\nIli kubadilisha mipangilio hii, nenda kwenye sehemu ya Ruhusa katika maelezo ya programu ya Mandhari."
"Toa idhini ya ufikiaji"
"Huduma ya mandhari hai kwa ajili ya mandhari yanayozunguka"
"Mandhari ya kila siku"
"Gusa ili uwashe"
"Mandhari yatabadilika kiotomatiki kila siku. Ili ukamilishe kuweka mipangilio, gusa <strong>Weka mandhari</strong> kwenye skrini inayofuata."
"Pakua mandhari ya siku za baadaye kupitia Wi-Fi pekee"
"Endelea"
"Inapakua mandhari ya kwanza..."
"Imeshindwa kupakua mandhari ya kwanza. Tafadhali kagua mipangilio ya mtandao wako kisha ujaribu tena."
"Mandhari yatabadilika kiotomatiki kila siku"
"Mipangilio"
"Gundua"
"Mandhari yanayofuata"
"Kipengele cha kuweka mandhari kimezimwa kwenye kifaa hiki"
"Kipengele cha kuweka mandhari kimezimwa na msimamizi wa kifaa chako"
"Imeweka mandhari"
"Unahitaji muunganisho wa Intaneti ili uweze kutazama mandhari. Tafadhali unganisha kisha ujaribu tena."
"Kijipicha cha mandhari yaliyopo ya skrini ya mwanzo"
"Kijipicha cha mandhari yaliyopo ya skrini iliyofungwa"
"Kijipicha cha mandhari yaliyopo"
"Kijipicha cha mandhari"
"Gundua mandhari ya skrini ya kwanza"
"Gundua mandhari ya skrini iliyofungwa"
"Onyesha upya mandhari ya skrini ya kwanza ya kila siku"
"Onyesha upya mandhari ya kila siku"
"Inaonyesha upya mandhari ya kila siku..."
"Imeshindwa kuonyesha upya mandhari ya kila siku. Tafadhali kagua muunganisho wako kisha ujaribu tena."
"Mandhari yaliyo kwenye kifaa"
"Kwenye kifaa"
"Mandhari ya Android"
"Mandhari hai"
"Picha zangu"
"Picha yangu"
"Mandhari"
"Programu haijasakinishwa."
"Katikati"
"Punguza katikati"
"Panua"
"Kagua kwanza"
"Maelezo"
"Weka mapendeleo"
"Mipangilio…"
"Futa"
"Je, ungependa kufuta mandhari haya kwenye simu yako?"
"Nyuma"
"Badilisha"
"Pakua"
"Mandhari ya Onyesho la Slaidi"
"Tumia"
"Ukurasa wa %1$d kati ya %2$d"
"Unaofuata"
"Uliotangulia"
"Mandhari"
"Onyesho la kukagua mandhari"
"Mkusanyiko huu haupo"
"Ficha Onyesho la Kukagua Kiolesura"
"Onyesha Onyesho la Kukagua Kiolesura"
"Badilisha mandhari"
"Onyesho la kukagua mandhari kwenye skrini iliyofungwa"