"Hifadhi ya Kalenda"
"Chaguo-msingi"
"Maelezo ya kalenda"
"Hitilafu"
"Hakuna kalenda"
"Matukio: %1$d"
"Matukio: %1$d, Hayajahifadhiwa: %2$d"
"Kalenda"
"Futa sasa"
"Anza"
"Uko karibu 1) kutengeneza nakala ya hifadhidata ya kalenda yako kwa kadi ya SD/hifadhi ya USB ambayo inaweza kusomwa na programu yoyote, na 2) kuituma kwa barua pepe. Kumbuka kufuta nakala pindi tu unapofaulu kuinakili kwenye kifaa hicho au barua pepe imepokewa."
"Chagua programu ili kutuma faili yako"
"Hifadhidata ya Kalenda imeambatishwa"
"Kilichoambatishwa ni hifadhidata yangu ya kalenda iliyo na miadi yangu yote na maelezo ya kibinafsi. Shughulikia kwa uangalifu."