"Kiolesura" "Futa" "Hakuna arifa" "Inaendelea" "Arifa" "Chaji inaweza kuisha hivi karibuni" "Imebakisha %s" "Imesalia %1$s, itadumu takribani %2$s kulingana na jinsi unavyotumia" "Imesalia %1$s, itadumu takribani %2$s" "Imesalia %s. Umewasha Kiokoa Betri." "Haiwezi kuchaji kupitia USB. Tumia chaja ambayo ilikuja na kifaa chako." "Haiwezi kuchaji kupitia USB" "Tumia chaja ambayo ilikuja na kifaa chako" "Mipangilio" "Ungependa Kuwasha Kiokoa Betri?" "Kuhusu Kiokoa betri" "Washa" "Washa Kiokoa Betri" "Mipangilio" "Wi-Fi" "Skrini ijizungushe kiotomatiki" "PUUZA" "KIOTOMATIKI" "Arifa" "Bluetooth imefungwa" "Weka mbinu za ingizo" "Kibodi halisi" "Ungependa kuruhusu %1$s ifikie %2$s?" "Ungependa kuruhusu %1$s ifikie %2$s?\nProgramu hii haijapewa ruhusa ya kurekodi lakini inaweza kurekodi sauti kupitia kifaa hiki cha USB." "Ungependa kuruhusu %1$s ifikie %2$s?" "Ungependa kufungua %1$s ili itumie %2$s?" "Ungependa kufungua %1$s ishughulikie %2$s?\nProgramu hii haijapewa ruhusa ya kurekodi lakini inaweza kurekodi sauti kupitia kifaa hiki cha USB." "Ungependa kufungua %1$s ili itumie %2$s?" "Hakuna programu zilizosakinishwa zinazofanya kazi na kifaa hiki cha USB. Pata maelezo zaidi kuhusu kifaa hiki kwenye %1$s" "Kifaa cha Usb" "Ona" "Fungua %1$s kila wakati %2$s inaunganishwa" "Fungua %1$s kila wakati %2$s inaunganishwa" "Ruhusu utatuaji wa USB?" "Kitambulisho dijitali cha kifunguo cha RSA cha kompyuta ni:\n%1$s" "Ruhusu kutoka kwenye kompyuta hii kila wakati" "Ruhusu" "Utatuzi wa USB hauruhusiwi" "Mtumiaji aliyeingia katika akaunti kwa kutumia kifaa hiki kwa sasa hawezi kuwasha utatuzi wa USB. Ili utumie kipengele hiki, tumia akaunti ya mtumiaji wa msingi." "Ungependa kuruhusu utatuzi usiotumia waya kwenye mtandao huu?" "Jina la Mtandao (SSID)\n%1$s\n\nAnwani ya Wi-Fi (BSSID)\n%2$s" "Ruhusu kila wakati kwenye mtandao huu" "Ruhusu" "Utatuzi usiotumia waya hauruhusiwi" "Mtumiaji aliyeingia katika akaunti kwenye kifaa hiki kwa sasa hawezi kuwasha utatuzi usiotumia waya. Ili utumie kipengele hiki, badilisha utumie akaunti ya mtumiaji wa msingi." "Mlango wa USB umezimwa" "Ili ulinde kifaa chako dhidi ya vitu vyenye unyevu au uchafu, mlango wa USB umezimwa na hautatambua vifaa vyovyote.\n\nUtaarifiwa itapokuwa sawa kutumia mlango wa USB tena." "Mlango wa USB umewezeshwa ili utambue chaja na vifuasi" "Washa kipengele cha USB" "Pata maelezo zaidi" "Kuza ili kujaza skrini" "Tanua ili kujaza skrini" "Picha ya skrini" "imetuma picha" "Inahifadhi picha ya skrini..." "Inahifadhi picha ya skrini..." "Imehifadhi picha ya skrini" "Gusa ili utazame picha ya skrini uliyohifadhi" "Imeshindwa kuhifadhi picha ya skrini" "Ni sharti ufungue kifaa kabla ya kuhifadhi picha ya skrini" "Jaribu kupiga picha ya skrini tena" "Imeshindwa kuhifadhi picha ya skrini" "Programu au shirika lako halikuruhusu kupiga picha za skrini" "Badilisha" "Badilisha picha ya skrini" "Nasa zaidi" "Ondoa picha ya skrini" "Onyesho la kukagua picha ya skrini" "Mpaka wa sehemu ya juu wa asilimia %1$d" "Mpaka wa sehemu ya chini wa asilimia %1$d" "Mpaka wa sehemu ya kushoto wa asilimia %1$d" "Mpaka wa sehemu ya kulia wa asilimia %1$d" "Kinasa Skrini" "Inachakata rekodi ya skrini" "Arifa inayoendelea ya kipindi cha kurekodi skrini" "Ungependa kuanza kurekodi?" "Wakati wa kurekodi, Mfumo wa Android unaweza kunasa maelezo yoyote nyeti yanayoonekana kwenye skrini au yanayochezwa kwenye kifaa chako. Hii ni pamoja na manenosiri, maelezo ya malipo, picha, ujumbe na sauti." "Rekodi sauti" "Sauti ya kifaa" "Sauti kutoka kwenye kifaa chako, kama vile muziki, simu na milio ya simu" "Maikrofoni" "Maikrofoni na sauti ya kifaa" "Anza" "Inarekodi skrini" "Inarekodi skrini na sauti" "Onyesha sehemu za kugusa kwenye skrini" "Gusa ili ukomeshe" "Acha" "Sitisha" "Endelea" "Ghairi" "Shiriki" "Imeghairi mchakato wa kurekodi skrini" "Imehifadhi rekodi ya skrini" "Gusa ili uangalie" "Hitilafu imetokea wakati wa kufuta rekodi ya skrini" "Imeshindwa kupata ruhusa" "Hitilafu imetokea wakati wa kuanza kurekodi skrini" "Machaguo ya uhamisho wa faili la USB" "Angika kama kichezaji cha maudhui (MTP)" "Angika kama kamera (PTP)" "Weka programu ya Kuhamisha Faili inayotumika kwenye Mac" "Nyuma" "Nyumbani" "Menyu" "Zana za walio na matatizo ya kuona au kusikia" "Zungusha skrini" "Muhtasari" "Tafuta" "Kamera" "Simu" "Mapendekezo ya Sauti" "Wallet" "Fungua" "Kifaa kimefungwa" "Inasubiri alama ya kidole" "Fungua bila kutumia alama ya kidole chako" "Inachanganua uso" "Tuma" "Dhibiti arifa" "fungua simu" "fungua mapendekezo ya sauti" "fungua kamera" "Ghairi" "Thibitisha" "Jaribu tena" "Gusa ili ughairi uthibitishaji" "Tafadhali jaribu tena" "Inatafuta uso wako" "Uso umethibitishwa" "Imethibitishwa" "Gusa Thibitisha ili ukamilishe" "Umethibitishwa" "Tumia PIN" "Tumia mchoro" "Tumia nenosiri" "Nambari ya PIN si sahihi" "Mchoro si sahihi" "Nenosiri si sahihi" "Majaribio mengi mno yasiyo sahihi.\nJaribu tena baada ya sekunde %d." "Jaribu tena. Jaribio la %1$d kati ya %2$d." "Data yako itafutwa" "Ukiweka mchoro usio sahihi utakapojaribu tena, data iliyo kwenye kifaa hiki itafutwa." "Ukiweka PIN isiyo sahihi utakapojaribu tena, data iliyo kwenye kifaa hiki itafutwa." "Ukiweka nenosiri lisilo sahihi utakapojaribu tena, data iliyo kwenye kifaa hiki itafutwa." "Ukiweka mchoro usio sahihi utakapojaribu tena, maelezo ya mtumiaji huyu yatafutwa." "Ukiweka PIN isiyo sahihi utakapojaribu tena, maelezo ya mtumiaji huyu yatafutwa." "Ukiweka nenosiri lisilo sahihi utakapojaribu tena, maelezo ya mtumiaji huyu yatafutwa." "Ukiweka mchoro usio sahihi utakapojaribu tena, wasifu wako wa kazini utafutwa pamoja na data yake." "Ukiweka PIN isiyo sahihi utakapojaribu tena, wasifu wako wa kazini utafutwa pamoja na data yake." "Ukiweka nenosiri lisilo sahihi utakapojaribu tena, wasifu wako wa kazini utafutwa pamoja na data yake." "Umejaribu kufungua mara nyingi mno kwa njia isiyo sahihi. Data iliyo kwenye kifaa hiki itafutwa." "Umejaribu kufungua mara nyingi mno kwa njia isiyo sahihi. Maelezo ya mtumiaji huyu yatafutwa." "Umejaribu kufungua mara nyingi mno kwa njia isiyo sahihi. Wasifu huu wa kazini utafutwa pamoja na data yake." "Ondoa" "Gusa kitambua alama ya kidole" "Aikoni ya alama ya kidole" "Imeshindwa kutambua uso. Tumia alama ya kidole." "Tumia alama ya kidole chako ili uendelee" "Imeshindwa kutambua alama ya kidole. Tumia mbinu ya kufunga skrini badala yake." "Inakutafuta…" "Aikoni ya uso" "Kichupo cha kukuza kwa utangamanifu" "Kuza kidogo kwa skrini kubwa." "Bluetooth imeunganishwa." "Bluetooth imetenganishwa" "Hakuna betri." "Pau moja ya betri." "Pau mbili za betri" "Pau tatu za betri." "Betri imejaa." "Asilimia ya betri haijulikani." "Imeunganishwa kwenye %s." "Imeunganishwa kwenye %s." "Imeunganishwa kwenye %s." "Hakuna WiMAX." "Pau moja ya WiMAX." "Pau mbili za WiMAX." "Pau tatu za WiMAX." "Ishara ya WiMAX imejaa." "Hakuna mtandao" "Haijaunganishwa." "Vipima mtandao sufuri." "Kipima mtandao kimoja." "Vipima mtandao mbili." "Vipima mtandao vitatu." "Nguvu kamili ya mtandao." "Imewashwa." "Imezimwa." "Imeunganishwa." "Inaunganisha." "HSPA" "Mitandao ya ng\'ambo" "Wi-Fi" "Hakuna SIM." "Data ya Simu" "Data ya Simu Imewashwa" "Zima" "Shiriki intaneti kwa Bluetooth." "Hali ya ndegeni." "VPN imewashwa." "Hakuna SIM kadi." "Fungua maelezo ya betri" "Asilimia %d ya betri" "Betri ina asilimia %1$s, zimesalia takribani %2$s kulingana na jinsi unavyoitumia" "Betri inachaji, asilimia %d." "Mipangilio ya mfumo." "Arifa." "Angalia arifa zote" "Futa arifa" "GPS imewashwa." "Kupata GPS." "Kichapishaji cha Tele kimewezeshwa." "Mtetemo wa mlio" "Mlio wa simu uko kimya." "Arifa imetupwa." "Kivuli cha arifa." "Mipangilio ya haraka." "Skrini iliyofungwa." "Mipangilio" "Muhtasari." "Skrini iliyofungwa ya kazini" "Funga" "%1$s." "Wifi imezimwa." "Wifi imewashwa." "Simu %1$s. %2$s. %3$s." "Betri %s." "Hali ya ndegeni imezimwa." "Hali ya ndegeni imewashwa." "Hali ya ndegeni imezimwa." "Hali ya ndegeni imewashwa." "kimya kabisa" "kengele pekee" "Usinisumbue." "Kipengee cha Usinisumbue kimezimwa." "Kipengee cha Usinisumbue kimewashwa." "Bluetooth" "Bluetooth imezimwa." "Bluetooth imewashwa." "Bluetooth inaunganishwa." "Bluetooth imeunganishwa." "Bluetooth imezimwa." "Bluetooth imewashwa." "Programu ya Kuonyesha mahali ulipo imezimwa." "Programu ya kuonyesha mahali ulipo imewashwa." "Programu ya Kuonyesha mahali ulipo imezimwa." "Programu ya Kuonyesha mahali ulipo imewashwa." "Kengele imewashwa na italia %s." "Funga paneli." "Muda zaidi." "Muda kidogo" "Tochi imezimwa." "Tochi haipatikani." "Tochi inawaka." "Tochi imezimwa." "Tochi imewashwa." "Ugeuzaji rangi umezimwa." "Ugeuzaji rangi umewashwa." "Mtandaopepe unahamishika umezimwa." "Mtandaopepe unaohamishika umewashwa." "Utumaji wa skrini umesitishwa." "Hali ya kazini imesimamishwa." "Hali ya kazi imewashwa." "Kiokoa Data kimezimwa." "Kiokoa Data kimewashwa." "Umezima mipangilio ya Faragha ya Vitambuzi." "Umewasha mipangilio ya Faragha ya Vitambuzi." "Ung\'aavu wa skrini" "Inachaji" "Data ya 2G-3G imesitishwa" "Data ya 4G imesitishwa" "Data ya mtandao wa simu imesitishwa" "Data imesitishwa" "Umefikia kikomo cha data ulichoweka. Hutumii tena data ya simu.\n\nUkiendelea, huenda ukatozwa ada ya matumizi ya data." "Endelea" "Inatafuta GPS" "Mahali pamewekwa na GPS" "Maombi ya eneo yanatumika" "Kipengele cha kuzima vitambuzi kimewashwa" "Futa arifa zote." "+ %s" Kuna arifa %s zaidi katika kikundi. Kuna arifa %s zaidi katika kikundi. "%1$s: %2$s" "Mipangilio ya arifa" "Mipangilio ya %s" "Skrini itazunguka kiotomatiki." "Skrini imefungwa sasa katika uelekezo wa mandhari." "Skrini imefungwa katika uelekeo wa picha." "Skrini sasa itazunguka kiotomatiki." "Skrini sasa imefungwa katika mkao wa ulalo." "Skrini sasa imefungwa katika mkao wa wima." "Sanduku la Vitindamlo" "Taswira ya skrini" "Ethernet" "Gusa na ushikilie aikoni ili upate chaguo zaidi" "Usinisumbue" "Kipaumbele tu" "Kengele pekee" "Kimya kabisa" "Bluetooth" "Bluetooth (Vifaa %d)" "Bluetooth Imezimwa" "Hakuna vifaa vilivyooanishwa vinavyopatikana" "Chaji ya betri ni %s" "Sauti" "Vifaa vya sauti" "Vifaa vya kuingiza sauti" "Visaidizi vya Kusikia" "Inawasha..." "Ung\'avu" "Zungusha kiotomatiki" "Skrini ijizungushe kiotomatiki" "Hali ya %s" "Mzunguko umefungwa" "Wima" "Mlalo" "Mbinu ya uingizaji" "Mahali" "Kitambua eneo kimezimwa" "Ufikiaji wa kamera" "Ufikiaji wa maikrofoni" "Unapatikana" "Umezuiwa" "Kifaa cha faili" "RSSI" "Simu za Dharura Pekee" "Mipangilio" "Muda" "Mimi" "Mtumiaji" "Mtumiaji mpya" "Wi-Fi" "Intaneti" "Mitandao inapatikana" "Mitandao haipatikani" "Haijaunganishwa" "Hakuna Mtandao" "Wi-Fi Imezimwa" "Imewasha Wi-Fi" "Hakuna mitandao ya Wi-Fi inayopatikana" "Inawasha..." "Kutuma kwenye Skrini" "Inatuma" "Kifaa hakina jina" "Tayari kutuma" "Hakuna vifaa vilivyopatikana" "Wi-Fi haijaunganishwa" "Ung\'avu" "KIOTOMATIKI" "Pindua rangi" "Hali ya kusahihisha rangi" "Mipangilio zaidi" "Mipangilio ya mtumiaji" "Nimemaliza" "Funga" "Imeunganishwa" "Imeunganishwa, kiwango cha betri ni %1$s" "Inaunganisha..." "Kusambaza mtandao" "Mtandaopepe" "Inawasha..." "Kiokoa Data kimewashwa" Vifaa %d Kifaa %d "Arifa" "Tochi" "Kamera inatumika" "Data ya simu" "Matumizi ya data" "Data iliyosalia" "Imezidi kikomo" "%s imetumika" "kikomo %s" "Onyo %s" "Programu za kazini" "Mwanga wa Usiku" "Itawashwa machweo" "Hadi macheo" "Itawashwa saa %s" "Hadi %s" "Mandhari meusi" "Kiokoa betri" "Itawashwa machweo" "Hadi macheo" "Itawashwa saa %s" "Hadi saa %s" "NFC" "NFC imezimwa" "NFC imewashwa" "Rekodi ya skrini" "Anza kurekodi" "Acha kurekodi" "Ungependa kuwacha kuzuia maikrofoni ya kifaa?" "Ungependa kuwacha kuzuia kamera ya kifaa?" "Ungependa kuwacha kuzuia kamera na maikrofoni ya kifaa?" "Hatua hii huruhusu programu na huduma zote zenye idhini zitumie maikrofoni yako." "Hatua hii huruhusu programu na huduma zote zenye idhini zitumie kamera yako." "Hatua hii huruhusu programu na huduma zote zenye idhini zitumie kamera au maikrofoni yako." "Kifaa" "Washa Muhtasari" "Betri imejaa" "Inachaji" "Imebakisha %s ijae" "Haichaji" "Huenda mtandao\nunafuatiliwa" "Tafuta" "Sogeza juu kwa %s ." "Sogeza kushoto kwa %s ." "Hutasumbuliwa na sauti na mitetemo, isipokuwa kengele, vikumbusho, matukio na simu zinazopigwa na watu uliobainisha. Bado utasikia chochote utakachochagua kucheza, ikiwa ni pamoja na muziki, video na michezo." "Hutasumbuliwa na sauti na mitetemo, isipokuwa kengele. Bado utasikia chochote utakachochagua kucheza, ikiwa ni pamoja na muziki, video na michezo." "Badilisha upendavyo" "Hatua hii huzuia mitetemo na sauti ZOTE, ikiwa ni pamoja na inayotokana na kengele, muziki video na michezo. Bado utaweza kupiga simu." "Hatua hii huzuia sauti na mitetemo YOTE, ikiwa ni pamoja na ile inayotokana na kengele, muziki, video na michezo." "%d+" "Arifa zisizo za dharura sana ziko hapo chini" "Gusa tena ili ufungue" "Gusa tena" "Telezesha kidole juu ili ufungue" "Bofya ili ufungue" "Telezesha kidole juu ili ujaribu tena" "Fungua ili utumie NFC" "Kifaa hiki kinamilikiwa na shirika lako" "Kifaa hiki kinamilikiwa na %s" "Kifaa hiki kimetolewa na %s" "Telezesha kidole kutoka kwa aikoni ili ufikie simu" "Telezesha kidole kutoka aikoni ili upate mapendekezo ya sauti" "Telezesha kidole kutoka aikoni ili ufikie kamera" "Kimya kabisa. Hatua hii pia itanyamazisha wasomaji wa skrini." "Kimya kabisa" "Kipaumbele tu" "Kengele pekee" "Kimya\nkabisa" "Kipaumbele\npekee" "Kengele\npekee" "%2$s Inachaji bila kutumia waya • Itajaa baada ya %1$s" "%2$s • Inachaji • Itajaa baada ya %1$s" "%2$s • Inachaji kwa kasi • Itajaa baada ya %1$s" "%2$s • Inachaji polepole • Itajaa baada ya %1$s" "Badili mtumiaji" "Badili mtumiaji, mtumiaji wa sasa %s" "Mtumiaji wa sasa %s" "Onyesha wasifu" "Ongeza mtumiaji" "Mtumiaji mpya" "Ungependa kumwondoa mgeni?" "Data na programu zote katika kipindi hiki zitafutwa." "Ondoa" "Karibu tena mgeni!" "Je, unataka kuendelea na kipindi chako?" "Anza upya" "Ndiyo, endelea" "Mtumiaji mgeni" "Ili kufuta programu na data, mwondoe mtumiaji mgeni" "ONDOA MGENI" "Ondoa mtumiaji" "Mwondoe mtumiaji wa sasa" "ONDOA MTUMIAJI" "Ungependa kuongeza mtumiaji?" "Mtumiaji mpya utakayemwongeza atahitaji kuongeza akaunti yake.\n\nMtumiaji yoyote anaweza kusasisha programu kwa niaba ya wengine wote." "Umefikia kima cha juu cha watumiaji" Unaruhusiwa kuongeza hadi watumiaji %d. Unaruhusiwa kuongeza mtumiaji mmoja pekee. "Je, ungependa kuondoa mtumiaji?" "Programu na data yote ya mtumiaji huyu itafutwa." "Ondoa" "Kiokoa Betri kimewashwa" "Hupunguza utendaji na data ya chini chini" "Zima Kiokoa Betri" "%s itaweza kufikia maelezo yote yanayoonekana kwenye skrini yako au yanayochezwa kwenye kifaa chako wakati wa kurekodi au kutuma. Hii ni pamoja na maelezo kama vile manenosiri, maelezo ya malipo, picha, ujumbe na sauti unayocheza." "Huduma inayotoa utendaji huu itaweza kufikia maelezo yote yanayoonekana kwenye skrini yako au yanayochezwa kwenye kifaa chako wakati wa kurekodi au kutuma. Hii ni pamoja na maelezo kama vile manenosiri, maelezo ya malipo, picha, ujumbe na sauti unayocheza." "Ungependa kuanza kurekodi au kutuma?" "Ungependa kuanza kurekodi au kutuma ukitumia %s?" "Usionyeshe tena" "Futa zote" "Dhibiti" "Historia" "Mpya" "Kimya" "Arifa" "Mazungumzo" "Futa arifa zote zisizo na sauti" "Kipengele cha Usinisumbue kimesitisha arifa" "Anza sasa" "Hakuna arifa" "Huenda wasifu ukafuatiliwa" "Huenda mtandao unafuatiliwa" "Huenda mtandao unafuatiliwa" "Kifaa hiki kinadhibitiwa na mzazi wako" "Shirika lako linamiliki kifaa hiki na huenda likafuatilia trafiki ya mtandao" "%1$s inamiliki kifaa hiki na huenda ikafuatilia trafiki ya mtandao" "Kifaa hiki kimetolewa na %s" "Kifaa hiki kinamilikiwa na shirika lako na kimeunganishwa kwenye %1$s" "Kifaa hiki kinamilikiwa na %1$s na kimeunganishwa kwenye %2$s" "Kifaa hiki kinamilikiwa na shirika lako" "Kifaa hiki kinamilikiwa na %1$s" "Kifaa hiki kinamilikiwa na shirika lako na kimeunganishwa kwenye VPN" "Kifaa hiki kinamilikiwa na %1$s na kimeunganishwa kwenye VPN" "Huenda shirika lako likafuatilia shughuli kwenye mtandao katika wasifu wako wa kazini" "Huenda %1$s ikafuatilia shughuli kwenye mtandao katika wasifu wako wa kazini" "Shughuli za mtandao za wasifu wa kazini zinaonekana kwa msimamizi wako wa TEHAMA." "Huenda mtandao unafuatiliwa" "Kifaa hiki kimeunganishwa kwenye VPN" "Wasifu wako wa kazini umeunganishwa kwenye %1$s" "Wasifu wako wa binafsi umeunganishwa kwenye %1$s" "Kifaa hiki kimeunganishwa kwenye %1$s" "Kifaa hiki kimetolewa na %s" "Udhibiti wa kifaa" "Ufuatiliaji wasifu" "Ufuatiliaji wa mtandao" "VPN" "Kumbukumbu ya matumizi ya mtandao" "Vyeti vya CA" "Zima VPN" "Ondoa VPN" "Angalia Sera" "Angalia vidhibiti" "Kifaa hiki kinamilikiwa na %1$s.\n\nMsimamizi wako wa TEHAMA anaweza kufuatilia na kudhibiti mipangilio, ufikiaji wa maudhui ya shirika, programu, data inayohusiana na kifaa chako na maelezo kuhusu mahali kifaa chako kilipo.\n\nKwa maelezo zaidi, wasiliana na msimamizi wako wa TEHAMA." "%1$s inaweza kufikia data inayohusiana na kifaa hiki, kudhibiti programu na kubadilisha mipangilio ya kifaa hiki.\n\nIkiwa una maswali yoyote, wasiliana na %2$s." "Kifaa hiki kinamilikiwa na shirika lako.\n\nMsimamizi wako wa TEHAMA anaweza kufuatilia na kudhibiti mipangilio, ufikiaji wa maudhui ya shirika, programu, data inayohusiana na kifaa chako na maelezo kuhusu mahali kifaa chako kilipo.\n\nKwa maelezo zaidi, wasiliana na msimamizi wako wa TEHAMA." "Shirika lako limesakinisha mamlaka ya cheti kwenye kifaa hiki. Huenda shughuli kwenye mtandao wako salama zikafuatiliwa au kubadilishwa." "Shirika lako limesakinisha mamlaka ya cheti katika wasifu wako wa kazini. Huenda shughuli kwenye mtandao wako salama zikafuatiliwa au kubadilishwa." "Mamlaka ya cheti imesakinishwa kwenye kifaa hiki. Huenda shughuli kwenye mtandao wako salama zikafuatiliwa au kubadilishwa." "Msimamizi wako amewasha kumbukumbu ya kuingia mtandaoni, ambayo hufuatilia shughuli kwenye kifaa chako." "Msimamizi wako amewasha kumbukumbu ya kuingia mtandaoni ambayo hufuatilia shughuli kwenye wasifu wako wa kazini ila si kwenye wasifu wako wa binafsi." "Umeunganishwa kwenye %1$s, ambayo inaweza kufuatilia shughuli za mtandao wako, ikiwa ni pamoja na barua pepe, programu na tovuti." "Umeunganishwa kwenye %1$s na %2$s, ambazo zinaweza kufuatilia shughuli za mtandao wako, ikiwa ni pamoja na barua pepe, programu na tovuti." "Wasifu wako wa kazini umeunganishwa kwenye %1$s, ambayo inaweza kufuatilia shughuli za mtandao wako, ikiwa ni pamoja na barua pepe, programu na tovuti." "Wasifu wako wa binafsi umeunganishwa kwenye %1$s, ambayo inaweza kufuatilia shughuli za mtandao wako, ikiwa ni pamoja na barua pepe, programu na tovuti." "Kifaa chako kinadhibitiwa na %1$s." "%1$s inatumia %2$s kudhibiti kifaa chako." "Msimamizi wako anaweza kufuatilia na kudhibiti mipangilio, ufikiaji wa maudhui ya shirika, programu, data inayohusiana na kifaa chako na maelezo kuhusu mahali kifaa kipo." " " "Pata maelezo zaidi" "Umeunganishwa kwenye %1$s, ambayo inaweza kufuatilia shughuli za mtandao wako, ikiwa ni pamoja na barua pepe, programu na tovuti." " " "Fungua mipangilio ya VPN" " " "Fungua vitambulisho vinavyoaminika" "Msimamizi wako amewasha kumbukumbu ya kuingia mtandaoni ambayo hufuatilia shughuli kwenye kifaa chako.\n\nKwa maelezo zaidi, wasiliana na msimamizi wako." "Uliruhusu programu iweke muunganisho wa VPN.\n\nProgramu hii inaweza kufuatilia shughuli za kifaa na mtandao wako, ikiwa ni pamoja na barua pepe, programu na tovuti." "Wasifu wako wa kazini unadhibitiwa na %1$s.\n\nMsimamizi wako anaweza kufuatilia shughuli za mtandaoni, ikiwa ni pamoja na barua pepe, programu na tovuti.\n\nKwa maelezo zaidi, wasiliana na msimamizi wako.\n\nUmeunganishwa pia kwenye VPN, ambayo inaweza kufuatilia shughuli zako mtandaoni." "Kifaa hiki kinadhibitiwa na mzazi wako. Mzazi wako anaweza kuona na kudhibiti maelezo kama vile programu unazotumia, mahali ulipo na muda unaotumia kwenye kifaa." "VPN" "Umeunganishwa kwenye %1$s, ambayo inaweza kufuatilia shughuli za mtandao wako, ikiwa ni pamoja na barua pepe, programu na tovuti." "Umeunganishwa kwenye %1$s, ambayo inaweza kufuatilia shughuli za mtandao wako, ikiwa ni pamoja na barua pepe, programu na tovuti." "Umeunganishwa kwenye %1$s, ambayo inaweza kufuatilia shughuli za mtandao wako, ikiwa ni pamoja na barua pepe, programu na tovuti." "Wasifu wako wa kazini unasimamiwa na %1$s. Wasifu umeunganishwa kwenye %2$s, ambayo inaweza kufuatilia shughuli za mtandao wako wa kazini, ikiwa ni pamoja na barua pepe, programu na tovuti.\n\n Wasiliana na msimamizi wako kwa maelezo zaidi." "Wasifu wako wa kazini unasimamiwa na %1$s. Wasifu umeunganishwa kwenye %2$s, ambayo inaweza kufuatilia shughuli zako kwenye mtandao wa kazini, ikiwa ni pamoja na barua pepe, programu na tovuti.\n\n Umeunganishwa pia kwenye %3$s, ambayo inaweza kufuatilia shughuli zako kwenye mtandao wa binafsi." "Imefunguliwa na kipengele cha kutathmini hali ya kuaminika" "Kifaa kitaendelea kuwa katika hali ya kufungwa hadi utakapokifungua mwenyewe" "%1$s\n%2$s" "Pata arifa kwa haraka" "Zitazame kabla hujafungua" "Hapana" "Sanidi" "%1$s. %2$s" "Izime sasa" "Mipangilio ya sauti" "Panua" "Kunja" "Wekea maudhui manukuu kiotomatiki" "Funga kidokezo cha manukuu" "Kuwekelea manukuu" "washa" "zima" "Badilisha kifaa cha kutoa sauti" "Programu imebandikwa" "Hali hii huifanya ionekane hadi utakapoibandua. Gusa na ushikilie kipengele cha Nyuma na Muhtasari ili ubandue." "Hali hii huifanya ionekane hadi utakapoibandua. Gusa na ushikilie kitufe cha kurudisha Nyuma na cha Mwanzo kwa pamoja ili ubandue." "Hali hii huifanya ionekane hadi utakapoibandua. Telezesha kidole juu na ushikilie ili uibandue." "Hali hii huifanya ionekane hadi utakapoibandua. Gusa na ushikilie kipengele cha Muhtasari ili ubandue." "Hali hii huifanya ionekane hadi utakapoibandua. Gusa na ushikilie kitufe cha Mwanzo ili ubandue." "Data binafsi inaweza kufikiwa (kama vile maudhui ya barua pepe na anwani)." "Programu iliyobandikwa inaweza kufungua programu zingine." "Ili ubandue programu hii, gusa na ushikilie vitufe vya Nyuma na Muhtasari" "Ili ubandue programu hii, gusa na ushikilie vitufe vya Nyuma na Ukurasa wa Mwanzo" "Ili ubandue programu hii, telezesha kidole juu na ushikilie" "Nimeelewa" "Hapana" "Programu imebandikwa" "Programu imebanduliwa" "Ungependa kuficha %1$s?" "Itaonekana tena wakati mwingine utakapoiwasha katika mipangilio." "Ficha" "Piga simu" "Mfumo" "Piga" "Maudhui" "Kengele" "Arifa" "Bluetooth" "Masafa ya ishara ya kampuni ya simu" "Zana za walio na matatizo ya kuona au kusikia" "Simu" "Piga" "Kutetema" "Zima sauti" "Umeweka mipangilio ya simu kutetema" "Umezima sauti ya simu" "%1$s. Gusa ili urejeshe." "%1$s. Gusa ili uweke mtetemo. Huenda ikakomesha huduma za zana za walio na matatizo ya kuona au kusikia." "%1$s. Gusa ili ukomeshe. Huenda ikakomesha huduma za zana za walio na matatizo ya kuona au kusikia." "%1$s. Gusa ili uweke mtetemo." "%1$s. Gusa ili usitishe." "Gusa ili ubadilishe hali ya programu inayotoa milio ya simu" "zima sauti" "washa sauti" "tetema" "Vidhibiti %s vya sauti" "Itatoa mlio arifa ikitumwa na simu ikipigwa (%1$s)" "Vifaa vya kutoa maudhui" "Vifaa vya kutoa sauti ya simu" "Hakuna vifaa vilivyopatikana" "Hakuna vifaa vilivyopatikana. Jaribu kuwasha %1$s" "Bluetooth" "Wi-Fi" "Bluetooth na Wi-Fi" "Kirekebishi cha kiolesura cha mfumo" "Onyesha asilimia ya betri iliyopachikwa" "Onyesha asilimia ya kiwango cha betri ndani ya aikoni ya sehemu ya arifa inapokuwa haichaji" "Mipangilio ya Haraka" "Sehemu ya kuonyesha hali" "Muhtasari" "Hali ya onyesho la kirekebishi cha kiolesura cha mfumo" "Washa hali ya onyesho" "Onyesha hali ya onyesho" "Ethaneti" "Kengele" "Wallet" "Weka njia ya kulipa ili uweze kununua kwa njia salama na haraka zaidi ukitumia simu yako" "Onyesha zote" "Fungua ili ulipe" "Weka kadi" "Inasasisha" "Fungua ili utumie" "Hitilafu imetokea wakati wa kuleta kadi zako, tafadhali jaribu tena baadaye" "Mipangilio ya kufunga skrini" "Wasifu wa kazini" "Hali ya ndegeni" "Ongeza kigae" "Kigae cha Tangazo" "Hutasikia kengele yako inayofuata ya saa %1$s usipozima hii kabla ya wakati huo" "Hutasikia kengele yako inayofuata ya saa %1$s" "saa %1$s" "siku ya %1$s" "Mipangilio ya Haraka, %s." "Mtandaopepe" "Wasifu wa kazini" "Kinafurahisha kwa baadhi ya watu lakini si wote" "Kirekebishi cha kiolesura cha mfumo kinakupa njia zaidi za kugeuza na kubadilisha kiolesura cha Android ili kikufae. Vipengele hivi vya majaribio vinaweza kubadilika, kuharibika au kupotea katika matoleo ya siku zijazo. Endelea kwa uangalifu." "Vipengele hivi vya majaribio vinaweza kubadilika, kuharibika, au kupotea katika matoleo ya siku zijazo. Endelea kwa uangalifu." "Nimeelewa" "Hongera! Kirekebishi cha kiolesura cha mfumo kimeongezwa kwenye mipangilio" "Ondoa kwenye Mipangilio" "Je, ungependa kuondoa Kirekebishi cha kiolesura cha mfumo kwenye mipangilio na uache kutumia vipengele vyake vyote?" "Programu haijasakinishwa kwenye kifaa chako" "Onyesha sekunde za saa" "Onyesha sekunde za saa katika sehemu ya arifa. Inaweza kuathiri muda wa matumizi ya betri." "Panga Upya Mipangilio ya Haraka" "Onyesha unga\'avu katika Mipangilio ya Haraka" "Ya majaribio" "Je, ungependa kuwasha Bluetooth?" "Ili uunganishe Kibodi yako kwenye kompyuta yako kibao, lazima kwanza uwashe Bluetooth." "Washa" "Onyesha arifa bila sauti" "Zuia arifa zote" "Usinyamazishe" "Usinyamazishe wala kuzuia" "Udhibiti wa arifa" "Imewashwa" "Imezimwa" "Ukiwa na udhibiti wa arifa, unaweza kuweka kiwango cha umuhimu wa arifa za programu kuanzia 0 hadi 5. \n\n""Kiwango cha 5"" \n- Onyesha katika sehemu ya juu ya orodha ya arifa \n- Ruhusu ukatizaji wa skrini nzima \n- Ruhusu arifa za kuchungulia kila wakati\n\n""Kiwango cha 4"" \n- Zuia ukatizaji wa skrini nzima\n- Ruhusu arifa za kuchungulia kila wakati \n\n""Kiwango cha 3"" \n- Zuia ukatizaji wa skrini nzima\n- Usiruhusu kamwe arifa za kuchungulia\n\n""Kiwango cha 2"" \n- Zuia ukatizaji wa skrini nzima\n- Usiruhusu kamwe arifa za kuchungulia \n- Usiruhusu kamwe sauti au mtetemo \n\n""Kiwango cha 1"" \n- Zuia ukatizaji wa skrini nzima \n- Usiruhusu kamwe arifa za kuchungulia \n- Usiruhusu kamwe sauti na mtetemo \n- Usionyeshe skrini iliyofungwa na sehemu ya arifa \n- Onyesha katika sehemu ya chini ya orodha ya arifa \n\n""Kiwango cha 0"" \n- Zuia arifa zote kutoka programu" "Arifa" "Hutaona tena arifa hizi" "Arifa hizi zitapunguzwa" "Arifa hizi zitaonyeshwa bila sauti" "Arifa hizi zitatoa sauti" "Wewe huondoa arifa hizi. \nUngependa kuzionyesha?" "Nimemaliza" "Tumia" "Ungependa kuendelea kuonyesha arifa hizi?" "Acha kuonyesha arifa" "Wasilisha bila Kutoa Sauti" "Zuia" "Endelea kuonyesha" "Punguza" "Kimya" "Isitoe sauti" "Kutoa arifa" "Endelea kutoa arifa" "Zima arifa" "Ungependa kuendelea kuonyesha arifa kutoka programu hii?" "Kimya" "Chaguomsingi" "Otomatiki" "Hakuna sauti wala mtetemo" "Hakuna sauti wala mtetemo na huonekana upande wa chini katika sehemu ya mazungumzo" "Huenda ikalia au kutetema kulingana na mipangilio ya simu" "Huenda ikalia au kutetema kulingana na mipangilio ya simu. Mazungumzo kutoka kiputo cha %1$s kwa chaguomsingi." "Huweka umakinifu wako kwenye maudhui haya kwa kutumia njia ya mkato ya kuelea." "Ruhusu mfumo ubainishe iwapo arifa hii inapaswa kutoa sauti au mtetemo" "<b>Hali:</b> Imepandishwa Hadhi Kuwa Chaguomsingi" "<b>Status:</b> Imeshushwa Hadhi Kuwa Kimya" "<b>Hali:</b> Imeorodheshwa Katika Nafasi ya Juu" "<b>Hali:</b> Imeorodheshwa Katika Nafasi ya Chini" "Huonyeshwa kwenye sehemu ya juu ya arifa za mazungumzo na kama picha ya wasifu kwenye skrini iliyofungwa" "Huonyeshwa kwenye sehemu ya juu ya arifa za mazungumzo na kama picha ya wasifu kwenye skrini iliyofungwa. Huonekana kama kiputo" "Huonyeshwa kwenye sehemu ya juu ya arifa za mazungumzo na kama picha ya wasifu kwenye skrini iliyofungwa. Hukatiza kipengele cha Usinisumbue" "Huonyeshwa kwenye sehemu ya juu ya arifa za mazungumzo na kama picha ya wasifu kwenye skrini iliyofungwa. Huonekana kama kiputo na hukatiza kipengele cha Usinisumbue" "Mipangilio" "Kipaumbele" "%1$s haitumii vipengele vya mazungumzo" "Arifa hizi haziwezi kubadilishwa." "Kikundi hiki cha arifa hakiwezi kuwekewa mipangilio hapa" "Arifa wakilishi" "Arifa zote za %1$s" "Angalia zaidi" "Programu hii inatumia kamera." "Programu hii inatumia maikrofoni." "Programu hii inachomoza kwenye programu zingine zilizo katika skrini yako." "Programu hii inatumia kamera na maikrofoni." "Programu hii inachomoza kwenye programu zingine zilizo katika skrini yako na inatumia kamera." "Programu hii inachomoza kwenye programu zingine zilizo katika skrini yako na inatumia maikrofoni." "Programu hii inachomoza kwenye programu zingine zilizo katika skrini yako na inatumia maikrofoni na kamera." "Mipangilio" "Sawa" "Arifa hii <b>imepandishwa hadhi kiotomatiki na mfumo kuwa Chaguomsingi</b>." "Arifa hii <b>imeshushwa hadhi kiotomatiki na mfumo kuwa Kimya</b>." "Arifa hii <b>imeorodheshwa kiotomatiki katika nafasi ya juu</b> katika kiwango chako." "Arifa hii <b>imeorodheshwa kiotomatiki katika nafasi ya chini</b> katika kiwango chako." "Mpe msanidi programu maoni yako. Je, hatua hii ilikuwa sahihi?" "Asante kwa maoni yako!" "Sawa" "Vidhibiti vya arifa %1$s vimefunguliwa" "Vidhibiti vya arifa vya %1$s vimefungwa" "Ruhusu arifa kutoka kwenye kituo hiki" "Mipangilio zaidi" "Weka mapendeleo" "Nimemaliza" "Tendua" "Tia alama arifa hii kuwa si mazungumzo" "Mazungumzo muhimu" "Si mazungumzo muhimu" "Arifa zimezimwa" "Kutoa arifa" "Onyesha kiputo" "Ondoa viputo" "Ongeza kwenye skrini ya kwanza" "%1$s %2$s" "vidhibiti vya arifa" "chaguo za kuahirisha arifa" "Nikumbushe" "Mipangilio" "Tendua" "Imeahirishwa kwa %1$s" Saa %d Saa %d Dakika %d Dakika %d "Matumizi ya betri" "Kiokoa Betri hakipatikani unapochaji betri" "Kiokoa Betri" "Hupunguza data ya chini chini na utendaji" "Kitufe cha %1$s" "Mwanzo" "Nyuma" "Juu" "Chini" "Kushoto" "Kulia" "Katikati" "Tab" "Space" "Enter" "Nafasinyuma" "Cheza/Sitisha" "Simamisha" "Inayofuata" "Iliyotangulia" "Rudisha nyuma" "Sogeza mbele Haraka" "Page Up" "Page Down" "Futa" "Mwanzo" "Mwisho" "Ingiza" "Num Lock" "Numpad %1$s" "Ondoa kiambatisho" "Mfumo" "Mwanzo" "Zilizotumika majuzi" "Nyuma" "Arifa" "Mikato ya Kibodi" "Badili mkao wa kibodi" "Programu" "Programu ya usaidizi" "Kivinjari" "Anwani" "Barua pepe" "SMS" "Muziki" "YouTube" "Kalenda" "Onyesha katika vidhibiti vya sauti" "Usinisumbue" "Njia ya mkato ya vitufe vya sauti" "Funga kipengele cha Usinisumbue sauti inapoongezwa" "Betri" "Saa" "Vifaa vya sauti" "Fungua mipangilio" "Imeunganisha spika za masikioni" "Imeunganisha vifaa vya sauti" "Kiokoa Data" "Kiokoa Data kimewashwa" "Kiokoa Data kimezimwa" "Imewashwa" "Imezimwa" "Hakipatikani" "Imezimwa" "Sehemu ya viungo muhimu" "Mpangilio" "Aina ya kitufe cha kushoto cha ziada" "Aina ya kitufe cha kulia cha ziada" "(chaguomsingi)" "Ubao wa kunakili" "Msimbo wa ufunguo" "Thibitisha ugeuzaji, kibadilishaji cha kibodi" "Hamna" "Ya Kawaida" "Kushikamana" "Inayoegemea kushoto" "Inayoegemea kulia" "Kibadilishaji cha kibodi" "Hifadhi" "Weka upya" "Rekebisha upana wa kitufe" "Ubao klipu" "Kitufe maalum cha uelekezaji" "Msimbo wa ufunguo wa kushoto" "Msimbo wa ufunguo wa kulia" "Aikoni ya kushoto" "Aikoni ya kulia" "Shikilia na uburute ili uongeze vigae" "Shikilia na uburute ili upange vigae upya" "Buruta hapa ili uondoe" "Unahitaji angalau vigae %1$d" "Badilisha" "Wakati" "Onyesha saa, dakika na sekunde" "Onyesha saa na dakika (chaguomsingi)" "Usionyeshe aikoni hii" "Onyesha asilimia kila wakati" "Onyesha asilimia wakati inachaji (chaguomsingi)" "Usionyeshe aikoni hii" "Onyesha aikoni za arifa zisizo muhimu" "Nyingine" "ondoa kigae" "ongeza kigae mwishoni" "Hamisha kigae" "Ongeza kigae" "Hamishia kwenye %1$d" "Ongeza kwenye nafasi ya %1$d" "Nafasi ya %1$d" "Kigae kimewekwa" "Kigae kimeondolewa" "Kihariri cha Mipangilio ya haraka." "Arifa kutoka %1$s: %2$s" "Fungua mipangilio." "Fungua mipangilio ya haraka." "Funga mipangilio ya haraka." "Imeweka kengele." "Umeingia katika akaunti ya %s" "chagua mtumiaji" "Hakuna intaneti" "Fungua maelezo." "Haipatikani kutokana na %s" "Fungua mipangilio ya %s." "Badilisha orodha ya mipangilio." "Menyu ya kuzima/kuwasha" "Ukurasa wa %1$d kati ya %2$d" "Skrini iliyofungwa" "Simu ilizima kutokana na joto" "Simu yako sasa inafanya kazi ipasavyo.\nGusa ili upate maelezo zaidi" "Simu yako ilikuwa moto sana, kwa hivyo ilijizima ili ipoe. Simu yako sasa inafanya kazi ipasavyo.\n\nSimu yako inaweza kuwa moto sana ikiwa:\n • Unatumia programu zinazotumia vipengee vingi (kama vile michezo ya video, video au programu za uelekezaji)\n • Unapakua au upakie faili kubwa\n • Unatumia simu yako katika maeneo yenye halijoto ya juu" "Angalia hatua za utunzaji" "Joto la simu linaongezeka" "Baadhi ya vipengele havitatumika kwenye simu wakati inapoa.\nGusa ili upate maelezo zaidi" "Simu yako itajaribu kupoa kiotomatiki. Bado unaweza kutumia simu yako, lakini huenda ikafanya kazi polepole. \n\nPindi simu yako itakapopoa, itaendelea kufanya kazi kama kawaida." "Angalia hatua za utunzaji" "Chomoa chaja" "Kuna tatizo la kuchaji kifaa hiki. Chomoa adapta ya nishati na uwe mwangalifu, huenda kebo ni moto." "Angalia hatua za ulinzi" "Njia ya mkato ya kushoto" "Njia ya mkato ya kulia" "Njia ya mkato ya kushoto pia inafungua" "Njia ya mkato ya kulia pia inafungua" "Hamna" "Anzisha programu %1$s" "Programu zingine" "Mduara" "Alama ya kuongeza" "Alama ya kuondoa" "Kushoto" "Kulia" "Menyu" "Programu ya %1$s" "Arifa" "Betri" "Picha za skrini" "Ujumbe wa Jumla" "Hifadhi" "Vidokezo" "Programu Zinazofunguka Papo Hapo" "Programu ya %1$s inatumika" "Programu inafunguka bila kusakinishwa." "Programu inafunguka bila kusakinishwa. Gusa ili upate maelezo zaidi." "Maelezo ya programu" "Tumia kivinjari" "Data ya simu" "%1$s%2$s" "%1$s, %2$s" "Wi-Fi imezimwa" "Bluetooth imezimwa" "Kipengele cha Usinisumbue kimezimwa" "Kipengele cha Usinisumbue kimewashwa na sheria ya kiotomatiki %s." "Kipengele cha usinisumbue kimewashwa na programu (%s)." "Kipengele cha Usinisumbue kimewashwa na sheria ya kiotomatiki au programu." "Hadi %s" "Usibadilishe" "Badilisha" "Programu zinatumika chinichini" "Gusa ili upate maelezo kuhusu betri na matumizi ya data" "Ungependa kuzima data ya mtandao wa simu?" "Hutaweza kufikia data au intaneti kupitia %s. Intaneti itapatikana kupitia Wi-Fi pekee." "mtoa huduma wako" "Kwa sababu programu nyingine inazuia ombi la ruhusa, hatuwezi kuthibitisha jibu lako katika Mipangilio." "Ungependa kuruhusu %1$s ionyeshe vipengee %2$s?" "- Inaweza kusoma maelezo kutoka %1$s" "- Inaweza kuchukua hatua ndani ya %1$s" "Ruhusu %1$s ionyeshe vipengee kutoka programu yoyote" "Ruhusu" "Kataa" "Gusa ili uratibu wakati wa kuwasha Kiokoa Betri" "Washa wakati betri inakaribia kuisha" "Hapana" "Ratiba ya Kiokoa Betri imewashwa" "Kiokoa Betri kitawaka kiotomatiki baada ya chaji ya betri kufika chini ya %d%%." "Mipangilio" "Nimeelewa" "Dump SysUI Heap" "%1$s inatumia %2$s yako." "Programu zinatumia %s yako." ", " " na " "Inatumiwa na %1$s" "Ilitumiwa hivi majuzi na %1$s" "(kazini)" "Simu" "(kupitia %s)" "kamera" "mahali" "maikrofoni" "Umezima vitambuzi" "Huduma za Kifaa" "Wimbo hauna jina" "Sogeza" "Umesasisha usogezaji kwenye mfumo. Ili ubadilishe, nenda kwenye Mipangilio." "Nenda kwenye mipangilio ili usasishe usogezaji kwenye mfumo" "Hali tuli" "Dirisha la Ukuzaji" "Vidhibiti vya Dirisha la Ukuzaji" "Vuta karibu" "Sogeza mbali" "Sogeza juu" "Sogeza chini" "Sogeza kushoto" "Sogeza kulia" "Swichi ya ukuzaji" "Kuza skrini nzima" "Kuza sehemu ya skrini" "Swichi" "Kitufe cha zana za ufikivu kimechukua nafasi ya ishara ya ufikivu\n\n""Angalia mipangilio" "Unaweza kubadilisha uache kutumia ishara ya ufikivu ili utumie kitufe\n\n""Mipangilio" "Sogeza kitufe kwenye ukingo ili ukifiche kwa muda" "Sogeza juu kushoto" "Sogeza juu kulia" "Sogeza chini kushoto" "Sogeza chini kulia" "Sogeza kwenye ukingo kisha ufiche" "Sogeza nje ya ukingo kisha uonyeshe" "geuza" "Vidhibiti vya vifaa" "Chagua programu ili uweke vidhibiti" Umeweka vidhibiti %s. Umeweka kidhibiti %s. "Kimeondolewa" "Kimewekwa kwenye vipendwa" "Kimewekwa kwenye vipendwa, nafasi ya %d" "Kimeondolewa kwenye vipendwa" "weka kwenye vipendwa" "ondoa kwenye vipendwa" "Sogeza kwenye nafasi ya %d" "Vidhibiti" "Chagua vidhibiti vya kufikia ukitumia Mipangilio ya Haraka" "Shikilia na uburute ili upange vidhibiti upya" "Umeondoa vidhibiti vyote" "Mabadiliko hayajahifadhiwa" "Angalia programu zingine" "Imeshindwa kupakia vidhibiti. Angalia programu ya %s ili uhakikishe kuwa mipangilio yake haijabadilika." "Vidhibiti vinavyooana havipatikani" "Nyingine" "Weka kwenye vidhibiti vya vifaa" "Weka" "Kimependekezwa na %s" "Umesasisha vidhibiti" "Kifaa kimefungwa" "PIN ina herufi au alama" "Thibitisha %s" "Nambari ya PIN si sahihi" "Inathibitisha…" "Weka PIN" "Jaribu PIN nyingine" "Inathibitisha…" "Thibitisha mabadiliko kwenye %s" "Telezesha kidole ili uone zaidi" "Inapakia mapendekezo" "Maudhui" "Ungependa kuficha kipindi hiki cha maudhui?" "Kipindi cha sasa cha maudhui hakiwezi kufichwa." "Ondoa" "Endelea" "Mipangilio" "%1$s ulioimbwa na %2$s unacheza katika %3$s" "Cheza" "Fungua %1$s" "Cheza %1$s ulioimbwa na %2$s katika %3$s" "Cheza %1$s katika %2$s" "Haitumiki, angalia programu" "Hitilafu, inajaribu tena…" "Hakipatikani" "Kidhibiti hakipatikani" "Imeshindwa kufikia %1$s. Angalia programu ya %2$s ili uhakikishe kuwa bado kidhibiti kipo na kuwa mipangilio ya programu haijabadilika." "Fungua programu" "Imeshindwa kupakia hali" "Hitilafu, jaribu tena" "Inaendelea" "Fungua Mipangilio ya Haraka ili uone vidhibiti vipya" "Weka vidhibiti" "Badilisha vidhibiti" "Weka vifaa vya kutoa sauti" "Kikundi" "Umechagua kifaa 1" "Umechagua vifaa %1$d" "%1$s (hakijaunganishwa)" "Imeshindwa kuunganisha. Jaribu tena." "Oanisha kifaa kipya" "Nambari ya muundo" "Nambari ya muundo imewekwa kwenye ubao wa kunakili." "Fungua mazungumzo" "Wijeti za mazungumzo" "Gusa mazungumzo ili uyaweke kwenye Skrini yako ya kwanza" "Mazungumzo yako ya hivi majuzi yataonekana hapa" "Mazungumzo yenye kipaumbele" "Mazungumzo ya hivi majuzi" "Sawa" "Siku %1$s zilizopita" "Wiki moja iliyopita" "Wiki mbili zilizopita" "Zaidi ya wiki moja iliyopita" "Zaidi ya wiki mbili zilizopita" "Siku ya kuzaliwa" "Ni siku ya kuzaliwa ya %1$s" "Siku ya kuzaliwa inakaribia" "Siku ya kuzaliwa ya %1$s inakaribia" "Maadhimisho" "Ni maadhimisho ya %1$s" "Unashiriki mahali" "%1$s anashiriki maelezo ya mahali" "Habari mpya" "%1$s ameshiriki hadithi mpya" "Unatazama" "Unasikiliza" "Unacheza" "Marafiki" "Tupige gumzo usiku!" "Maudhui yataonekana hivi karibuni" "Simu ambayo hukujibu" "%d+" "Angalia ujumbe wa hivi majuzi, simu ambazo hukujibu na taarifa za hali" "Mazungumzo" "Imesimamishwa na kipengele cha Usinisumbue" "%1$s ametuma ujumbe: %2$s" "%1$s ametuma picha" "%1$s ana taarifa kuhusu hali: %2$s" "Anapatikana" "Tatizo la kusoma mita ya betri yako" "Gusa ili upate maelezo zaidi" "Hujaweka kengele" "Kitambua alama ya kidole" "Kitambua alama ya kidole kimezimwa" "thibitisha" "weka kifaa" "Tumia alama ya kidole kufungua" "Uthibitishaji unahitajika. Gusa kitambua alama ya kidole ili uthibitishe." "Simu inayoendelea"